depositphotos_6376541-stock-photo-outdoor-portrait-of-young-black Acha Mambo 18 Ya Kuomba Omba Radhi Katika Mwaka 2018

Mambo ya kudharau hisia zako, mwonekano wako, wakati wa kwako mwenyewe, kuuliza maswali, Kutojibu meseji au kupiga simu, na kushindwa kubadilisha mazingira . kujiona hustahili, kujiona umekataliwa,  hukubaliki, hupendwi, huheshimiwi.

1.Ukweli ambao moja au wengi wa marafiki zako wamefanikiwa kuliko wewe.

2.Ukweli kwamba umefanikiwa kuliko rafiki au marafiki zako .

3.Ukweli unaokuonyesha kuwa hauna usalama  wakati mwingine au mara nyingi.

4.Unapokuwa hukubaliani na mtu fulani  na kujieleza kwa nini  kwa upole, unyonge na kwa heshima kubwa.

5.Kutokufanyia kazi mwonekano wako na kuona wengine wako vizuri kuliko wewe.

6.Unahitaji kujisikia kupendwa.

7.Ukweli ambao unajiona hauko vizuri katika  vitu vingi hata unapojaribu kubadilisha.

8. Ukweli unaotaka mpenzi wako kukujali na kutaka awe na muda na wewe.

9.Hamu ya kutaka kujaribu kitu kipya  hata kama ni kikubwa kuliko uwezo wako na kina nafasi kubwa ya kushindwa.

10.Ukweli ambao mara nyingi au wakati mwingine unakuwa na hamu ya kibinadamu kutaka watu wakuhakikishie  na unajitahidi kutafuta validation kwa bidii na kushindwa.

11.Kuhisi kutoheshimiwa  na mtu fulani wakati wanapokosa kukuheshimu au kuhisi maumivu unapoumizwa na mtu fulani.

images-2 Acha Mambo 18 Ya Kuomba Omba Radhi Katika Mwaka 2018

12.Kutaka kuwa na marafiki ambao wanakufanya ujisikie  kukubalika na kupendwa.

13.Uongo uliokuzunguka  na kuhisi maisha magumu kwamba huwezi kufanyia kazi.

14.Kuachana na marafiki wabaya au kuachana na kazi usiyoipenda au mahusiano mabaya ambayo yamekufanya ukutane na magonjwa ya ajabu.

15.Kuhisi kuchoka na kupotea au huzuni au kutojipenda mwenyewe.

16.Kuhitaji kuwa mwenyewe na kuhitaji muda wa kufikiri , unaona rahisi kwa sababu unahisi unapenda.

17.Kumpenda mtu na kumwambia kuwa unampenda halafu hana mpango na wewe.

18.Kujaribu kwa bidii kutaka kujitambua wewe ni nani.

Subscribe kupata makala mpya kila mara

Toa maoni yako.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here