Articles published by elizabeth David

Unahisi Umefungwa Kwenye Mahusiano Mabaya?

Bila uhuru na mipaka ndani ya mahusiano  unaweza kuzimia wakati wowote hasa kama wewe  huwezi kupigana na maadui wadogo wadogo ndani yako wanaokupigia kelele nyingi ambazo hazina maana.

Jikung’ute Mavumbi Uondoke

  Huenda kuna kitu kiilikukamata ukawa huwezi kusogea  mahali ulipo, Amka sasa jivike nguvu zako Ee mwanadamu kwa maana tangia sasa hataingia ndani mwako mtu mbaya anayekuharibu.  Jifungulie vifungo vya shingo yako ulivyofungwa na watu wabaya.