Category afya 67 articles to read

Kuponya Na Kutibu

Mtu pekee wa kukuponya ni wewe mwenyewe. Usitegemee Dactari, huyo Dactari atakusaidia tu lakini wewe utajiponya.

Hii Ni Njia Sahihi Ya Kupunguza Uzito Wako

Zaidi na zaidi tunajifunza kila siku kuhusu kupunguza uzito, sio tu katika mazoezi na kupunguza calories. Tunapozingitia mwili wa mwanadamu kwa ujumla na kuelewa  umuhimu wake, tunaweza kuamua  kwamba tunachokiona kwenye kipimo ni namba ndogo kuliko kinachoendelea ndani ya miili yetu.

Jeraha La Aibu Linaweza Kuwa Ndani Zaidi Na La Kudumu

Nafikiri hakuna mtu ambaye anapenda kuambiwa kuwa hana akili. Mara nyingi watu wanawaambie wengine kuwa hawana akili. Hakuna mtu asiye kuwa na akili . kila mtu ana akili.

Kosa No . 1 La Kiafya Watu Bado Wanalifanya

Unakula vizuri vyakula vya mimea kama diet yako , Unausogeza mwili wako mara kwa mara, Una ratiba yako nzuri ya kufanya mazoezi. Ukienda shoping yako unanunua vitu vya Organic na vya kienyeji  kwa ajili ya kula kilicho safi.

Tabia Zinazobadilisha Maisha Kwa Urahisi

Maisha yanabadilika unapomkaribia Mungu. Wanadamu wote wanahangaika, Lakini kuna waliozidi zaidi katika kuhangaika .Jifunze kumkaribisha Mungu.

Kiasi Gani Cha Sukari Kinafaa Kula Kila Siku?

Najua sukari ina utata, Kuna maswali mengi kuhusu vitu vitamu. Hapa kuna baadhi ya maswali  ambayo yanakuumiza kichwa .

Mambo Ambayo Unaweza Kuyafanya Kila Siku Ili Kuzuia Saratani

Pamoja na kwamba unakubaliana na dawa nyingi zinazookoa  maisha , matibau ya saratani, Nataka tuende ndani zaidi. huko ambako dawa zinafanya kazi . Ni kuangalia kiini cha tatizo, kuangalia zaidi subira badala ya kuangalia ugonjwa.

Jifunze Kumpenda Mtu Unayemuona Kwenye Kioo

Kwa miaka mingi nimekuwa kwenye Sayari hii, Ni mekuwa nikihangaika kwa ajili ya kujikubali jinsi nilivyo kama mtu. Kujifunza kupenda kila kitu nilichonacho kama ni kibaya au kizuri.