Hii Ni Njia Sahihi Ya Kupunguza Uzito Wako

Zaidi na zaidi tunajifunza kila siku kuhusu kupunguza uzito, sio tu katika mazoezi na kupunguza calories. Tunapozingitia mwili wa mwanadamu kwa ujumla na kuelewa  umuhimu wake, tunaweza kuamua  kwamba tunachokiona kwenye kipimo ni namba ndogo...

Kosa No . 1 La Kiafya Watu Bado Wanalifanya

Unakula vizuri vyakula vya mimea kama diet yako , Unausogeza mwili wako mara kwa mara, Una ratiba yako nzuri ya kufanya mazoezi. Ukienda shoping yako unanunua vitu vya Organic na vya kienyeji  kwa ajili...

Jifunze Kumpenda Mtu Unayemuona Kwenye Kioo

Kwa miaka mingi nimekuwa kwenye Sayari hii, Ni mekuwa nikihangaika kwa ajili ya kujikubali jinsi nilivyo kama mtu. Kujifunza kupenda kila kitu nilichonacho kama ni kibaya au kizuri. Sikufahamu nitaanzia wapi  inapokuja kujifunza  ni kwa...

MASHARTI 12 YATAKAYOKUWEKA FIT NA MWENYE AFYA KILA SIKU:

Kuwa na afya bora haitokani na kula  nyama , pilau, chips ,  biriani , soseji,  bugger,  n.k, mafanikio ya afya bora inatokana na  vitu vifuatavyo. 1.Angalia afya ya akili , kimwili na kiroho. kuwa mwenye afya...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article