HII NI MBINU RAHISI YA KUONDOA TUMBO LA CHINI ( BELLY FAT) KWA HARAKA...

Kitunguu thoum ni chakula  cha muujiza  kinapopunguza  uzito wa mtu. Kitunguu thoum pia  kina leta ladha nzuri kwenye chakula. Harafu kali ya kitunguu thoum kinaamua  ubongo wa kati, pia kinapunguza hali ya kuwa na...

VIFAHAMU VYAKULA 5VINAVYOSAIDIA KUWEKA SAWA HOMONI:

CHAKULA. Wakati  homoni zikiwa na tatizo mwilini mwako utaelewa tu , maana kuna dalili utaona , mara utasikia kuchoka bila sababu , uzito kupungua,  hutapata usingizi vizuri usiku,nguvu zinapungua na kuwa na mawzo mengi. ukiona dalili...

MAMBO RAHISI 6 UNAWEZA KUFANYA ILI KUONDOA MATATIZO YA GESI TUMBONI

Tukabiliane nayo, matatizo ya tumbo ni makubwa na yanaudhi. yanaharibu mood yako, appetite yako, na hata maisha yako. kwa kifupi , ni mwanzo wa kuanza siku mbaya.Hata hivyo, haitakiwi kuwa hivyo, kama kila mara ulalamika...

NJIA 8 RAHISI ZA MAZOEZI YA MACHO, ILI KUTUNZA MACHO YAKO YAWE...

Tunafanya mazoezi ya mikono miguu,  kukaza tumbo na hata mazoezi ya kuweka mwili ukae vizuri nyuma yetu, lakini umewahi kufikiri kuhusu  macho yako? Dactari yeyote  atakuambia  kwamba kutunza macho ni vizuri, na kuyafanyia mazoezi...

UNAOGOPA SARATANI YA MATITI? NJIA 8 ZA KUTUNZA AFYA YA MATITI:

Mara nyingi umekuwa ukisikia kuhusu saratani ya matiti ,mara uvimbe kwenye matiti au titi  ambavyo uvimbe nao unavyogeuka kuwa  saratani endapo utachelewa kutoa ,lakini pia tumesikia jinsi saratani inavyoenea  kama mtu hatawahi kufanya matibabu....

KINYWAJI BORA CHA KUNYWA KWA AJILI YA USINGIZI MZURI KILA SIKU:

Umewahi kugundua kuwa kuna vinywaji  ambavyo vina nguvu na hata vingine vinaweza kukusababisha kusikia usingizi?  Vizuri, hio ni kwa sababu vinywaji unavyotumia  vinakuathiri kiasi  cha kukuonyesha hali ya usingizi  Kwa sababu watu wengi wana matatizo...

VYAKULA VINAVYOFANANA NA SEHEMU ZA MWILI WAKO AMBAVYO NI MUHIMU KUKUMBUKA:

Mara nyingi ni vigumu kukumbuka ni aina gani ya chakula  ambacho kina saidia  sehemu mbalimbali za mwili. kuna vyakula vinavyofanana na  hizo sehemu za mwili ambavyo vitakufanya ukumbuke kuvinunua kwa faida ya  mwili wako. Angalia...

VIRUTUBISHO 6 VINAVYOWEZA KUTUNZA NGOZI YAKO:

Ngozi ni kama kiungo kingine chochote mwilini,  na mara zote iko kwenye mchakato wa kukua upya, kila siku , kila mwezi  ili kusaidia tishu zilizoko kuifanya iwe imara na yenye afya. Kuna vurutubisho ambavyo vinasaidia...

KUNA AINA 5 YA VYAKULA AMBAVYO VINASAIDIA KUONDOA MAUMIVU YA ENDOMETRIOSIS:

Mwanamke anayesumbuliwa na ugonjwa wa endometriosis. Happiness Magese ni mwanamke pekee hapa Tanzania ambae amejitolea kuelezea ugonjwa huu wa endometriosis, kwa sababu umemsumbua tangu akiwa na miaka  13 kama alivyosema mwenyewe.Hapa Afrika na hata nchi...

VITU 7 AMBAVYO VITAKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO

Kama una historia ya unene katika familia yako,hutakiwi tu kuridhika na hio historia   eti kwa sababu ni asili yenu toka enzi, kuwa na magonjwa  yanayosababishwa na uzito usikubali. ukweli ni kwamba endapo utafuata...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article