KULA KILICHO SAFI NA BORA

Majira yanakuja ya kuwa na matunda mengi mbalimbali, hasa msimu huu wa maembe, mwezi wa kumi na mbili una magonjwa mengi, safisha sehemu yako ya kuhifadhia chakula, mazingira yako, safisha mwili wako pia kwa...

UMUHIMU NA FAIDA ZA JUICE ZA MBOGA NA MATUNDA

Mchanganyiko wa mboga na matunda  kwa ajili ya juice, ni lishe yenye afya nzuri,  Juice ya matunda inasafisha mfumo mzima wa mwili wa mwanadamu, wakati juice ya mboga inajenga mwili. Kwa uzoefu wangu binafsi pamoja...

KINYWAJI AMBACHO NI KIZURI KUTUMIA KILA SIKU KWA AJILI YA AFYA YA UBONGO

Kama wewe ni mpenzi wa chai , nina habari nzuri kwako.Watafiti wapya wamegundua kuwa  kutumia kinywaji hiki cha chai mara kwa mara kinaweza kupunguza  hatari  ya  kushuka kwa utambuzi  wa matatizo ya akili karibu...

JINSI YA KUPATA NYONGEZA YA KUMBUKUMBU

Maisha yako yote yanategemea  kuwa na uwezo wa kukumbuka vitu. Nina uhakika unafahamu nina maana gani… Funguo zangu zikowapi? ‘’Nilitakiwa kufanya nini leo ? wakati ambapo unajikuta moyo unakuuma na kuhisi kuwa kuna kitu umesahau...

HOFU INAWEZA KUKUFANYA UJISIKIE KUUMWA KUTOKANA NA KIPIMO.

Watu wenye wasiwasi na afya wana hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kuwa na mawazo mengi, afya ya saikolojia ni tiba ilio bora sana. Watu wengi huwa na furaha endapo matokeo ya kipimo yatakuwa negative...lakini...

WATU WANAOLIA MARA NYINGI SIO WADHAIFU, WANA NGUVU NA AKILI ZA TOFAUTI:

Kama jamii na  tamaduni zetu zinavyopendelea kuona watu wenye nguvu na mafanikio kuwa sio rahisi wao kulia , kwanini , kwa sababu wanaonekana hawana shida, na hawako kwenye list ya watu  wenye sifa hio....

LISHE YENYE MCHANGANYIKO SAHIHI KWA AJILI YA KUPUNGUZA UZITO:

Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi vyakula vya protini na vitamini ni vipi ambavyo vinapunguza uzito. Kwanza  ni muhimu  kuelekeza   kuwa  hakuna fomula ya muujiza  kwa sababu kila mtu ni wa kipekee na ni bora kuamini kabisa...

VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Ni pale unapoanza kujiuliza nitakula nini wakati huu , nina njaa  na sio wakati wa kula. Unapoona baadhi ya vitafuno  unatakiwa kuchagua kwa hekima. Kutafuna Chips sio kitu kizuri unapokuwa na njaa, unahitaji snacks ambazo zitaondoa...

NJIA 8 RAHISI ZA MAZOEZI YA MACHO, ILI KUTUNZA MACHO YAKO YAWE...

Tunafanya mazoezi ya mikono miguu,  kukaza tumbo na hata mazoezi ya kuweka mwili ukae vizuri nyuma yetu, lakini umewahi kufikiri kuhusu  macho yako? Dactari yeyote  atakuambia  kwamba kutunza macho ni vizuri, na kuyafanyia mazoezi...

KWA NINI NI VIGUMU KUACHA KULA VITU VIDOGO VIDOGO USIKU

Kama wewe ni mmoja wa wale wengi wanaopenda kutafuna tafuna vitafunio wakati wa usiku baada ya kula chakula cha kawaida, ni vizuri tu uanze kuepuka huo mtindo wako sio mzuri. Usiogope kwa kupata njaa usiku...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article