UMUHIMU NA FAIDA ZA JUICE ZA MBOGA NA MATUNDA

Mchanganyiko wa mboga na matunda  kwa ajili ya juice, ni lishe yenye afya nzuri,  Juice ya matunda inasafisha mfumo mzima wa mwili wa mwanadamu, wakati juice ya mboga inajenga mwili. Kwa uzoefu wangu binafsi pamoja...

SIWEZI KULALA VIZURI, INATOKANA NA MAMBO ULIYOFANYA ASUBUHI, MCHANA NA JIONI

Unapokuwa huezi kulala vizuri usiku , fikiria kilichofanyika jioni yake  na kujaribu  kufahamu kitu gani kilikwenda vibaya. Unaweza kuanza kufikiria huenda nilienda kulala mapema. Au nibadilishe mto, au ilikuwa baridi, au ilikuwa joto sana Utatafuta...

JINSI YA KUPATA NYONGEZA YA KUMBUKUMBU

Maisha yako yote yanategemea  kuwa na uwezo wa kukumbuka vitu. Nina uhakika unafahamu nina maana gani… Funguo zangu zikowapi? ‘’Nilitakiwa kufanya nini leo ? wakati ambapo unajikuta moyo unakuuma na kuhisi kuwa kuna kitu umesahau...

MAISHA YAKO HALISI YANATOKANA NA UNACHOKIFIKIRIA NA UNACHOKISEMA

Unafahamu hilo? Lisha akili yako nguvu ya mawazo mazuri  ili  ufurahie maisha. Wengi wetu hatujui hili, Na hata kama tunajua, Hatuamini katika hili, kwa sababu  inaonekana haiwezekani. Lakini nataka nikuambie kitu ambacho kinaweza kuwa kigumu kuamini....

HATUA 3 NILIZOCHUKUA  KUPONYA MWILI WANGU NA KUPATA AFYA.

Miaka mingi iliopita nilikosa matumaini ya kuishi  kutoka na afya yangu, nilipimwa na kuonekana  na tatizo la moyo mkubwa. Sio moyo tu , nilikuwa na tatizo la mgongo, miguu na macho yalikuwa na matatizo...

VYAKULA VIZURI VYA KUTAFUNA KWA WATU WA MAZOEZI WANAPOKUWA NA NJAA

Ni pale unapoanza kujiuliza nitakula nini wakati huu , nina njaa  na sio wakati wa kula. Unapoona baadhi ya vitafuno  unatakiwa kuchagua kwa hekima. Kutafuna Chips sio kitu kizuri unapokuwa na njaa, unahitaji snacks ambazo zitaondoa...

MAZOEZI 3 AMBAYO YATAKUPA NGUVU YA AKILI KWA DAKIKA 5.

Jenga misuli ya akili kwa kutumia zoezi kidogo la kuufundisha ubongo Hata kama kuna mambo mengi yamekukabili, na unaona kama unakaribia kukata tamaa. Kumbuka kupata ushindi sio kitu rahisi, kufanikiwa unahitaji nguvu ya ziada. Lakini kabla...

UNAHANGAIKA KUPUNGUZA UZITO? MFUMO HUU NI WA KWELI UTAKUPATIA MATOKEO UNAYOTAKA

Sehemu nzuri ya kuwepo online ni kuwasaidia wateja wangu kufikia malengo yao.Ingawa wanawake wengi wamekuwa wakija kwangu ili kuuliza namna ya kupungua uzito bila ya kutumia madawa yanayozuru afya zao  kwa ajili ya maisha...

PATA KINYWAJI HIKI KABLA YA KULALA KILA SIKU UTAWEZA KUONDOA MAFUTA YA TUMBO...

Kila mtu anahangaika kuondoa uzito na kuondoa tumbo  kwa njia moja au nyingine. Jaribu kuita hiyo kama imepita.  Kumbuka  uzito ulio nao au tumbo kubwa ulilonalo halikukua kwa usiku mmoja. Kila kitu huwa kina...

KINYWAJI AMBACHO NI KIZURI KUTUMIA KILA SIKU KWA AJILI YA AFYA YA UBONGO

Kama wewe ni mpenzi wa chai , nina habari nzuri kwako.Watafiti wapya wamegundua kuwa  kutumia kinywaji hiki cha chai mara kwa mara kinaweza kupunguza  hatari  ya  kushuka kwa utambuzi  wa matatizo ya akili karibu...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article