Posts in category

afya


Kama wewe ni mpenzi wa chai , nina habari nzuri kwako.Watafiti wapya wamegundua kuwa  kutumia kinywaji hiki cha chai mara kwa mara kinaweza kupunguza  hatari  ya  kushuka kwa utambuzi  wa …

0 34

Baada ya miaka mingi ya kuhangaika na siri nyingi za kuboresha afya  kutokana na matatizo yangu, nilitembelea madaktari wengi mbalimbali, nilifanya vipimo vingi vya aina  na aina, nilitumia pesa nyingi …

3 73

Ipo siri kubwa kwenye vyakula, kwamba tunachokula ndicho kinachoathiri  miili yetu, yote pamoja na jinsi tunavyotazama  nje  na jinsi miili yetu inavyofanya kazi ndani. Inaweza pioa katika kurutubisha nguvu za …

0 40

Kama wewe ni mmoja wa wale wengi wanaopenda kutafuna tafuna vitafunio wakati wa usiku baada ya kula chakula cha kawaida,

0 48

Diet haiwezi kufanya kazi . Mimi  nilikuwa ni mmoja wa wale watu wanaopenda kula kupita kiasi , naamini kuandika hii itakusaidia   kubadilika Umewahi kujua vitu vinavyokunenepesha?

0 49

Utaepukaje matumizi ya sukari nyingi au kutotumia kabisa, ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza mara nyingi.

2 35

Watu wenye wasiwasi na afya wana hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kuwa na mawazo mengi, afya ya saikolojia ni tiba ilio bora sana. Watu wengi huwa na furaha endapo

0 52

Majira yanakuja ya kuwa na matunda mengi mbalimbali, hasa msimu huu wa maembe, mwezi wa kumi na mbili una magonjwa mengi, safisha sehemu

1 61

Wanawake katika kazi mbalimbali, mipango yao huenda haraka zaidi ya wanaume, mara tano zaidi ya wanaume, na hutumia ubongo kidogo tu kutambua kazi iliopo.

0 61

Ninaposikia neno ” lishe” moja kwa moja hufikiria chakula kwa ajili ya mwili na kuupa mwili lishe sahihi ili ufanye kazi vizuri.Pamoja na utunzaji huo, lishe pia ni muhimu kwa …

0 50