Posts in category

afya


Miongo mingi iliopita,  athari  za  madawa ya kuulia wadudu yalikuwa yakisikika zaidi na zaidi katika vyombo vya habari . Kama matokeo,lakini  mwendelezo wa vitu vya asili  vilizoeleka  na kuongezeka  zaidi …

0 43

Unatafuta chakula  kizuri cha kukuvutia kwa ajili ya kulala usingizi mzuri? Usitafute mbali,  Ndizi ziko kila mahali unapopita , kwenye magenge, sokoni, na supermarket

0 34

Kuna kipindi nilimuuliza mtu, ni kitu gani kinakufanya uwe na furaha, alinielezea jinsi  tabia ya furaha  inavyoleta usawa ndani ya mwili na akili ya mtu. Tunapokuwa na furaha  tunapata afya …

0 47

Umewahi kugundua kuwa kuna vinywaji  ambavyo vina nguvu na hata vingine vinaweza kukusababisha kusikia usingizi?  Vizuri, hio ni kwa sababu vinywaji unavyotumia  vinakuathiri kiasi  cha kukuonyesha hali ya usingizi 

0 53

Ni nini hasa superfood? Hakuna jibu halisi  kwenye swali hili, ni neno tu linatumiwa ili kuonyesha ubora wa chakula chenyewe. Lakini cha kushukuru ni kwamba  hatutegemei  sana  visivyo bora,  jikoni …

0 34

Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi vyakula vya protini na vitamini ni vipi ambavyo vinapunguza uzito.

2 49

Edina amerudi tu nyumbani kutoka huku alikokuwa na marafiki zake, Kubali usikubali,haikuwa  kama alivyokuwa.

0 39

Katika safari yangu mwenyewe ya kuhangaika na  maumivu , nimegundua  nguvu ya uponyaji ya chakula  na dawa kwa mwili wangu. Ilinishangaza kutambua kuwa baadhi ya vyakula

0 42

  Mara nyingi watu hushitushwa  kusikia hiki,  lakini unaweza kupunguza uzito wako kwa maamuzi yako leo. Ni nia yangu , ni kazi yangu  kuwasaidia wengine kugundua njia rahisi ya kujiweka …

0 46

Kama  umeamua kuwa  unakula mboga tu kama wanyama, mazingira ,kwa ajili ya kufanikiwa kupunguza uzito, kwa ajili ya kuboresha afya yako kwa ujumla, au kwa ajili ya sababu hizo zote, …

0 34