Posts in category

afya


Tunafanya mazoezi ya mikono miguu,  kukaza tumbo na hata mazoezi ya kuweka mwili ukae vizuri nyuma yetu, lakini umewahi kufikiri kuhusu  macho yako?

0 75

Kumekuwa na mafunzo mengi ya  diet na namna ya kula vyakula  bora katika afya zetu,  kuna  vyakula ukiviona tu unavutiwa kula navyo ndio hivyo sio vizuri, na kuna vyakula ambavyo …

0 35

Kwa watu ambao wanahitaji afya njema , saratani yaweza kuwa ni  woga mkubwa sana kwao, kwa sababu zaidi ya hapo ni kifo .Ulimwenguni mwote watu wana

1 70

Mara nyingi ni vigumu kukumbuka ni aina gani ya chakula  ambacho kina saidia  sehemu mbalimbali za mwili. kuna vyakula vinavyofanana na  hizo sehemu za mwili ambavyo vitakufanya ukumbuke kuvinunua kwa …

0 81

  Chakula kizuri kisichokuwa na usumbufu mwingi ,  kinatakiwa kiwe ni cha  mboga mboga na chakula cha nfaka nzima, kitakufanya ujusikie vizuri na kina ladha

0 36

Kama jamii na  tamaduni zetu zinavyopendelea kuona watu wenye nguvu na mafanikio kuwa sio rahisi wao kulia , kwanini , kwa sababu wanaonekana hawana shida, na hawako kwenye

0 77

Ngozi ni kama kiungo kingine chochote mwilini,  na mara zote iko kwenye mchakato wa kukua upya, kila siku , kila mwezi  ili kusaidia tishu zilizoko kuifanya iwe imara na yenye …

0 34

Kama una historia ya unene katika familia yako,hutakiwi tu kuridhika na hio historia   eti kwa sababu ni asili yenu toka enzi, kuwa na magonjwa  yanayosababishwa na uzito usikubali. ukweli …

0 79

Maisha yetu ni maisha yetu wenyewe, lakini utashangaa mtu anaamua kukaa mahali ambapo si rafiki kabisa, na sio kwamba haelewi

0 44

    Siku hizi watu wengi  wameelimika  , wanafanya mazoezi  na kufuata kanuni bora za ulaji, kuliko huko nyuma watu walijua kula  vyakula vya

0 34