Posts in category

afya


Mwanamke anayesumbuliwa na ugonjwa wa endometriosis. Happiness Magese ni mwanamke pekee hapa Tanzania ambae amejitolea kuelezea ugonjwa huu wa endometriosis, kwa sababu umemsumbua tangu akiwa na miaka  13

1 45

Mara nyingi umekuwa ukisikia kuhusu saratani ya matiti ,mara uvimbe kwenye matiti au titi  ambavyo uvimbe nao unavyogeuka kuwa  saratani endapo utachelewa kutoa ,lakini pia tumesikia jinsi saratani inavyoenea  kama …

0 102

Kuwa na afya bora haitokani na kula  nyama , pilau, chips ,  biriani , soseji,  bugger,  n.k, mafanikio ya afya bora inatokana na  vitu vifuatavyo.

1 47

CHAKULA. Wakati  homoni zikiwa na tatizo mwilini mwako utaelewa tu , maana kuna dalili utaona , mara utasikia kuchoka bila sababu , uzito kupungua,  hutapata usingizi vizuri usiku,nguvu zinapungua na …

0 288

MTU WA KWELI CHAKULA CHA UKWELI       Kama umewahi kusikia neno water proof,  utaelewa vizuru ninachotaka kukupa hapa,  Kuna watu hata hawafanyi mazoezi ili wapungue mwili  , wao …

4 51

  CHAKULA NA DAWA. Ilikuwa vigumu kufikiria  muda nguvu  utulivu na pesa  ambayo nilitumia kutafuta uponyaji na afya njema na amani .ilikuweka afya yangu vizuri kila wakati nilijaribu kitu kipya …

2 48

Ukitaka kuwa na afya nzuri na furaha  katika maisha yako , na kuwa   na nguvu  na wa kuvutia  na kuwa balanced , fanya mazoezi kila siku mimi nafanya mazoezi …

0 58