Fundisha Akili Yako Maarifa Na Ukue Kwa Furaha

Unawezaje kujizuia kuwa na mawazo mabaya ili kuishi ukiwa na mawazo mazuri? Kustaafu. Mjomba wangu  hakutegemea  kuwa na mzigo wa akili  ambao uliambatana na kukosa kazi. Siku kwa siku alisema, Nina muda mwingi wa kuwa huru....

Unataka Uwe Na Umri Mzuri? Kuwa Na Maana Ya Kusudi Ni Muhimu

Umewahi kuhisi kama ni ngumu kuweka afya yako vizuri, na unajikuta muda unapita haraka bila ya kutambua? hata mimi pia.  Hapa utafahamu kila kitu ambacho unataka kujua kuhusu,  Afya ya muhimu, kuishi vizuri, ushauri...

AMANI INAKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO YA MALENGO YAKO

''Amani''Ni hali ya kipekee kwa muda huu na wakati wote.''Amani ya Dunia,'' ''Amani ya Ulimwengu'', Amani ya familia,  Amani ya jamii, amani ya mahusiano, amani yako n.k. Ni kitu ambacho kinatuunganisha na wengine walio...

UONGO ULIOPO KWA WATU SINGLE KUHUSU MAPENZI BAADA YA MIAKA 40

Mature woman sitting on sofa, looking away in thoughtSingle na kuchoka kuhusu hicho? Unafanyaje ili kubadilisha hii tabia . Kama wewe ni mwanamke single mwenye miaka 40, unayo historia yako tayari , nina uhakika umewahi...

UTUNZE UBONGO UWE IMARA KIAKILI KWA AJILI YA MAISHA YA BAADAYE

Utafanyeje uweze kuutunza ubongo vizuri kwa kadri unavyokua? Hapa kuna  mbinu chache za kukusaidia Kucheza. Kucheza sio kwa ajili ya watoto wadogo tu , ni kitu kizuri kwa ajili ya kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri....

MABADILIKO YA MAISHA, KIMWILI, KIAKILI NA KIROHO

Mara ngapi umesikia maongezi yafuatayo, au hata wewe unajikuta unasema haya maneno? Nimepitwa na wakati wa ( jaza wewe hapo) Kwa umri wangu nisingeweza ku ( jaza nafasi hio mwenyewe) Watu wa umri wangu hawafanyi hivyo vitu. Imani...

KITU GANI CHA KUFANYA UMRI WA MIAKA 30 ILI UWE NA FURAHA UKIFIKA MIAKA...

Hivi karibuni nikuwa najiuliza, kulingana na uchunguzi niliofanya , ''Natakiwa kufanya nini umri huu wa miaka 30 ambavyo vitanipa faida nikifika miaka 50, na zaidi. Napenda hili swali, hasa kwa sababu ni moja ya maswali...

UZITO NA MAZOEZI KATIKA MAISHA YA KATI NA KUENDELEA

Uzito na mazoezi ni tatizo kwa wanawake wengi, sio tu wale ambao wanakaribia menopause. kuhisi kuwa na mambo mengi hasa na kuendelea pale unapokuwa umekwenda njia tofauti lakini kama umekuwepo kwenye hali nzuri ya mlo...

MAPENZI NA MAHUSIANO KATIKA UMRI WA KATI NA KUENDELEA.

Mahusiano na mapenzi katika umri wa kati , menopause na kuendelea huleta mabadiliko mengi kwa kila hatua , kimwili , kiakili na kihisia. Tendo la ndoa linaweza kuwa linaepukwa wakati wa kipindi hiki kwa sababu...

SIRI MUHIMU ZA KUKUA KWA UANGALIFU

Sote tunakua , ni kitu kimoja kwamba kila mwanadamu atafikia mahali ambapo ni lazima kufika. Na tayari, wengi wetu tunapigana angalau, kwa sababu wengi tunaogopa kuwa tutaonekanaje, tutajisikiaje, tutafanyaje na muda wetu , wakati tutakapokufa.Tunaupenda...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article