Category breath 36 articles to read

Sababu 4 Mazoezi Ya Cardio Yanahujumu Lengo La Uzito Wako

Kabla hujafikiria  kuwa mwili wako  unashambuliwa  na sakata la kupungukia baadhi ya nguvu,  ngoja nikuambie kuwa  Aerobic ni mazoezi mazuri kupita aina nyingine  kwa ajili ya mwili wako.

UNAWEZA KUWA NA NGUVU YA ZIADA YA KUJIZUIA ?

Unategemea kuwa unaweza kujidhibiti zaidi? Wote tuna wakati ambao tunakosa nguvu ya kujizuia tunapoanguka katika maamuzi yetu. Mbali na kukosa  maamuzi au kuwa na maamuzi mabaya.

KWA NINI KILA MWANAUME NI MUHIMU KUFANYA MEDITATION

Ni lazima Vinginevyo... Hata kama wewe ni mwanaume mwenye kazi nyingi au mwenye tamaa ya mambo mengi, unaeshindwa kujidhibiti kwa kuwa na mpenzi mmoja. Au mwanamke una mume mwenye macho yasiotulia. Amini katika hili.

4 EXERCISE TIPS KWA WATU AMBAO HAWAPENDI MAZOEZI

Kama unapenda mazoezi utakuwa karibu na watu wanaopenda mazoezi, au hata kama utakuwa umeamua kufanya mazoezi nyumbani kwako, hio ni kupenda kweli hali ya kuwa mtu wa mazoezi.lakini kwa sababu ya kuyakataa na kuyachukia mazoezi,  hutaweza kuwa karibu na wala kujifunza mbinu za mazoezi.

KWA NINI DIET SIO NJIA YA KUPUNGUZA UZITO KWA WENGI

Kama kuna kitu kimoja ninachotaka mwaka huu kwa ajili yako ,ni   kile kitu chenye majaribio makubwa  ya kuendelea  na diet nyingine  ambayo inakufanya  ujilaumu, uone aibu , na kukata tamaa.