SABABU AMBAYO HUJAWAHI KUSIKIA KWA NINI NI MUHIMU WANAWAKE KUFANYA MAZOEZI

Ni kuhusu  faida za ubunifu ambao  wanawake wanatakiwa kufanya --kwa sababu wanawake wengi wanakosa  njia hizo za ubunifu. Wanawake wengi wanakuwa hawako huru kutokana na maumbo yao , na uzito walio nao ni sababu kubwa...

ZOEZI LA TAFAKARI LITAKUSAIDIA KUSHUGHULIKIA MABADILIKO

Wengi tunafikiria kufanya mabadiliko mbalimbali baadaya ya mwaka mpya, Lakini tumefungiwa zaidi na uzuri  katika kujikwaa, yua na bila ustadi. Ingawa mabadiliko hayo  yatatufanya  tufahamu kuhusu njia ipi ya kupita, mabadiliko yamekuwepo yenyewe  katika  aina...

NJIA RAHISI 9 ZA KUPUNGUZA STRESS

1.Zima vitu vyote vya umeme kwa muda wa saa nzima 2.Vuta pumuzi ndani na kukaa nayo kwa muda 3.Nunua kitu kizuri unachokipenda, au kula chakula kizuri unachokipenda 4.Pata japo muda mfupi wa kupumzika mchana. 5.Tumia chai japo kikombe...

NJIA 6 ZA KUUPENDA MWILI WAKO SIKU ZOTE.

Haikuwa njia rahisi kwangu kujipenda na kukubali  mwili wangu. Sikuwahi kuhisi kuwa naweza kujidhibiti, mwili wangu, chakula changu, au uzito wangu. Kupigania huku  ilikuwa ni changamoto kubwa .  Na ilikuwa kitu kilichonipa nia ya  kujifunza...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article