MAAJABU YA MAJI YA UVUGUVUGU UNAPOAMUA KUTUMIA KILA SIKU ASUBUHI:

Inawezekana unatumia kikombe cha chai  au kikombe cha  kahawa kila siku asubuhi, wengi wao hutumia maji ya kawaida ili kuanza siku vizuri. Hivi vitu vimekuwa ndio tabia ya kila siku , hata hivyo wachunguzi...

JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU YA MGONGO YASIOSIKIA DAWA.

Kama unasumbuliwa na maumivu sugu ya mgongo, unaweza kupata faida kutokana na  haya mazoezi ya kujinyoosha  yalio rahisi kabisa  ambayo yanaweza kufanyika mahali popote  na yatakuletea matokeo ya haraka kabisa. Vitu vya kawaida vinavyoleta maumivu...

NJIA RAHISI YA KUONGEZA NGUVU YA MWILI KWA WANAWAKE:

Kama wewe ni kila kitu kama mimi , lazima utakuwa unajaribu kuepuka mazoezi yanayoendeshwa kwa remote, kama vile push-up.lakini tunatakiwa kufanya hayo mazoezi kwa ajili ya kuongeza nguvu  ya mikono , miguu na hata...

HATUA RAHISI 10 ZA KUFANYA MAZOEZI YA MEDITATION:

Tafakari inaonekana kama ni kitu kigumu na ni kitu kigeni sana kwetu, lakini kusema kweli  ina faida nyingi na ni rahisi kuanza, ni kama mazoezi ya kawaida . ina kusaidia kukuweka vizuri siku nzima,...

NJIA 6 ZA KUUPENDA MWILI WAKO SIKU ZOTE.

Haikuwa njia rahisi kwangu kujipenda na kukubali  mwili wangu. Sikuwahi kuhisi kuwa naweza kujidhibiti, mwili wangu, chakula changu, au uzito wangu. Kupigania huku  ilikuwa ni changamoto kubwa .  Na ilikuwa kitu kilichonipa nia ya  kujifunza...

TAFAKARI (MEDITATION) INA FAIDA NYINGI:

FANYA TAFAKARI KILA SIKU. Nimekuwa nikifuatilia mafunzo mbalimbali ya namna ya kutafakari,na nimeona kuwa kuna faida nyingi katika kufanya  tafakari. Hapo mwanzo sikuamini lakini nilianza kama kujaribu, naendelea kila siku  na sasa nakaribia mwaka  toka...

NJIA 5 ZA UKWELI KUKUWEZESHA KUTAFAKARI KILA SIKU.

Neno’’ tafakari’’  na ‘’kukumbuka’’ ni maneno yasio epukika siku hizi, pamoja na kiasi cha kutokuwa na mwisho wa  makala zote, kila kitu kina tokana na   kupunguza msongo wa mawazo ili kuwa na mahusiano bora...

MLO RAHISI AMBAO UTAKUPUNGUZIA PAUNDI 10 KWA WIKI MOJA TU.

Kutokana na changamoto nyingi  za kupunguza uzito na kuondoa manyama uzembe ,fanya maamuzi ya  msingi  ya kufanya diet kwa siku 10 tu na utaona matokeo makubwa  yasiokuwa na madhara kiafya. Lakini bado ni uamuzi...

KWA NINI KILA MWANAUME NI MUHIMU KUFANYA MEDITATION

Ni lazima Vinginevyo... Hata kama wewe ni mwanaume mwenye kazi nyingi au mwenye tamaa ya mambo mengi, unaeshindwa kujidhibiti kwa kuwa na mpenzi mmoja. Au mwanamke una mume mwenye macho yasiotulia. Amini katika hili. Kila...

NGUZO 6 ZA UZURI WA ASILI ( SIO KAMA UNAVYOFIKIRIA)

Neno uzuri lina maana kubwa, sio kama uzuri wa uso au uzuri wa mwili kwa mwonekano wa kawaida, lina maana mpya. Kama  unavyopita kwenye maisha  yako ya kila siku, unapata  neno  ‘’beauty’’ hata kama...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article