NJIA RAHISI 9 ZA KUPUNGUZA STRESS

1.Zima vitu vyote vya umeme kwa muda wa saa nzima 2.Vuta pumuzi ndani na kukaa nayo kwa muda 3.Nunua kitu kizuri unachokipenda, au kula chakula kizuri unachokipenda 4.Pata japo muda mfupi wa kupumzika mchana. 5.Tumia chai japo kikombe...

KWA NINI DIET SIO NJIA YA KUPUNGUZA UZITO KWA WENGI

Kama kuna kitu kimoja ninachotaka mwaka huu kwa ajili yako ,ni   kile kitu chenye majaribio makubwa  ya kuendelea  na diet nyingine  ambayo inakufanya  ujilaumu, uone aibu , na kukata tamaa. Tumaini langu  kwako ni kwamba...

MLO RAHISI AMBAO UTAKUPUNGUZIA PAUNDI 10 KWA WIKI MOJA TU.

Kutokana na changamoto nyingi  za kupunguza uzito na kuondoa manyama uzembe ,fanya maamuzi ya  msingi  ya kufanya diet kwa siku 10 tu na utaona matokeo makubwa  yasiokuwa na madhara kiafya. Lakini bado ni uamuzi...

NGUZO 6 ZA UZURI WA ASILI ( SIO KAMA UNAVYOFIKIRIA)

Neno uzuri lina maana kubwa, sio kama uzuri wa uso au uzuri wa mwili kwa mwonekano wa kawaida, lina maana mpya. Kama  unavyopita kwenye maisha  yako ya kila siku, unapata  neno  ‘’beauty’’ hata kama...

NJIA 5 ZA UKWELI KUKUWEZESHA KUTAFAKARI KILA SIKU.

Neno’’ tafakari’’  na ‘’kukumbuka’’ ni maneno yasio epukika siku hizi, pamoja na kiasi cha kutokuwa na mwisho wa  makala zote, kila kitu kina tokana na   kupunguza msongo wa mawazo ili kuwa na mahusiano bora...

JINSI NILIVYOPONA MAUMIVU SUGU YA MGONGO NA MIGUU BILA DAWA.

Jipu lilitumbuka kazini, na ilikuwa ni joto ofisini. niligeuza kichwa changu nilipoambiwa na rafiki yangu . Nilipoweka umakini , nilisikia moja ya wafanya kazi wenzangu akiuliza , Ana tatizo gani huyo leo? bosi akanichukua ofisini...

NJIA 6 ZA KUUPENDA MWILI WAKO SIKU ZOTE.

Haikuwa njia rahisi kwangu kujipenda na kukubali  mwili wangu. Sikuwahi kuhisi kuwa naweza kujidhibiti, mwili wangu, chakula changu, au uzito wangu. Kupigania huku  ilikuwa ni changamoto kubwa .  Na ilikuwa kitu kilichonipa nia ya  kujifunza...

SIO KWA MAZOEZI YA MAPEMA? DAKIKA 10 TU ZA IBADA YAKO NDICHO UNACHOHITAJI

Anza  siku yako vizuri,.’’ asubuhi yako ndio itakufanya uwe na siku nzuri  yote. Ratiba yako sahihi  itakupa mafanikio  Utakuwa umesikia hiki kitu kabla . hata hivyo,wakati  muda unaenda zake,  mara nyingi asbuhi nzuri huanzishwa na...

UNAWEZA KUWA NA AFYA NZURI NA MWENYE NGUVU BILA YA KWENDA GYM.

Nilifikiria sana ni  jinsi gani unaweza kujenga misuli bila ya kwenda kunyanyua vyuma, lakini kuna mtu mmoja kanihakikishia kuwa  upo uwezekano  ulio rahisi wa kujenga misuli bila ya kwenda gym. Nilipokuwa nakubadiliana na mawazo hayo,...

JINSI YA KUSHUGHULIKIA TAMAA,MASIKITIKO NA MAJUTO

Bila shaka  kwamba kwenye maisha unaweza  kuondokana na masikitiko na tamaa au majuto.  Kwa vile ni vizuri tunapoingia mwaka mwingine tuwe tumeweka mambo yetu sawa. Ni kweli unapita katika misukosuko mingi. Lakini kwa jinsi unavyokua...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article