JINSI NILIVYOPONA MAUMIVU SUGU YA MGONGO NA MIGUU BILA DAWA.

Jipu lilitumbuka kazini, na ilikuwa ni joto ofisini. niligeuza kichwa changu nilipoambiwa na rafiki yangu . Nilipoweka umakini , nilisikia moja ya wafanya kazi wenzangu akiuliza , Ana tatizo gani huyo leo? bosi akanichukua ofisini...

NJIA RAHISI 9 ZA KUPUNGUZA STRESS

1.Zima vitu vyote vya umeme kwa muda wa saa nzima 2.Vuta pumuzi ndani na kukaa nayo kwa muda 3.Nunua kitu kizuri unachokipenda, au kula chakula kizuri unachokipenda 4.Pata japo muda mfupi wa kupumzika mchana. 5.Tumia chai japo kikombe...

WATU WENYE AFYA WANAZO SIRI ZIFUATAZO

Watu wenye afya zao, hawaamki asubuhi tu siku moja na kujikuta wako fit kimwili na kiakili. Afya ya kweli inahitaji maamuzi ya maisha yenye afya, na kwa watu wengi maana hii imeleta mabadiliko ndani ya...

UCHUNGUZI KUHUSU UTULIVU WA MOYO ( AMANI)

Baadhi ya watu kawaida wana amani ya moyo na utulivu ndani yake. bila ya kutumia nguvu, wanaendesha ulimwengu kwa uwezo wa akili zao. Siwezi. wazazi wangu walisema nililia wakati tu nilipozaliwa, shuleni sikuwa mwoga, nilikuwa...

RAHISISHA MAISHA YAKO,RAHISISHA NA WEZESHA AKILI YAKO:JIJENGEE TABIA YA KUTAFAKARI.

Hakuna muujiza mkubwa kama tafakari, inabadilisha negative into the positive. inabadilisha giza kuwa mwanga- hio ni miujiza ya tafakari. Kukaa na kutafakari ni muhimu na ni msingi wa imani.Tafakari peke yake inarahisisha umuhimu. Unafunika tu...

NGUZO 6 ZA UZURI WA ASILI ( SIO KAMA UNAVYOFIKIRIA)

Neno uzuri lina maana kubwa, sio kama uzuri wa uso au uzuri wa mwili kwa mwonekano wa kawaida, lina maana mpya. Kama  unavyopita kwenye maisha  yako ya kila siku, unapata  neno  ‘’beauty’’ hata kama...

MAZOEZI YATAKAYOKUFANYA UJISIKIE SEXIER NA MWENYE UJASIRI .

Msichana mmoja alijieleza jinsi alivyokuwa anapata shida kwenye mahusiano yake , na hivi ndivyo alivyosema. Baada ya miaka minne na nusu ya mahusiano  na mtu fulani, alianza kunilalamikia kuhusu mwili wangu ya kuwa eti anapata...

NJIA 6 ZA KUUPENDA MWILI WAKO SIKU ZOTE.

Haikuwa njia rahisi kwangu kujipenda na kukubali  mwili wangu. Sikuwahi kuhisi kuwa naweza kujidhibiti, mwili wangu, chakula changu, au uzito wangu. Kupigania huku  ilikuwa ni changamoto kubwa .  Na ilikuwa kitu kilichonipa nia ya  kujifunza...

FANYA TAFAKARI KWA AJILI YA KUJIAMINI.

Tafakari ni mbinu ya kubadilisha  negative  self-talk kwenda  kwenye positive self-talk. Uthibitisho unaweza kuendelezwa muda wowote na  hali ya tafakari  inapoongezeka kwa matokeo yako. Hapa kuna ushauri wa  kusukuma  kujiamini kwako. Usiwe makini sana, fanya kwa...

KAMA KILA SIKU USIKU UNAAMKA MUDA HUOHUO, MAANA YAKE NI HII

Kupata usingizi  mzuri usiku ni muhimu. Zipo saa za kibinadamu zenye mfumo wa ndani wa kumiliki muda na  shughuli za mwili. Afya za roho zetu na afya za miili yetu vyote vimeunganika pamoja. Dawa  za asili...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article