UNATAKA KUANZA KUTAFAKARI? JARIBU HII.

Kuna vyanzo vingi  vinavyosaidia jinsi ya kuanza tafakari. Ingawa wote wanajaribu kusaidia  kadri iwezekanavyo, kuna mbinu moja nzuri ya kuanza nayo  mazoezi ya  kutafakari . Anza kidogo. Ni kwa vipi utaanza kidogo? Dakika moja -mbili kwa...

UNAWEZA KUWA NA AFYA NZURI NA MWENYE NGUVU BILA YA KWENDA GYM.

Nilifikiria sana ni  jinsi gani unaweza kujenga misuli bila ya kwenda kunyanyua vyuma, lakini kuna mtu mmoja kanihakikishia kuwa  upo uwezekano  ulio rahisi wa kujenga misuli bila ya kwenda gym. Nilipokuwa nakubadiliana na mawazo hayo,...

JINSI YA KUJIKITA KWENYE TAFAKARI UNAPOKUWA HUNA MUDA KABISA.

Kwa wale wenzangu wanaofuatilia namna ya kutafakari, (meditation)  na hata wale ambao bado hajaanza kabisa , tujifunze kupitia hapa , huyu mtu alivyofanya na kupata mafanikio . Kwa miaka nane, nimeishi kwa utulivu, kwa amani...

SWALI MOJA UNAHITAJI KUJIUULIZA KAMA KWELI UNAHITAJI KUBADILISHA MAISHA YAKO.

Kila mtu , kila siku huchagua nguo ya kuvaa, kitu cha kula  asubuhi,  mchana, au mtandao upi  anahitaji kutumia, na jinsi tunavyoenda kutumia  kwa muda wetu.Kat ika ulimwengu wa afya   na mazoezi,  utapita hizo...

JINSI YA KUTUMIA TAFAKARI KUBADILISHA HUZUNI KUWA HEKIMA.

Katika  maishsa yangu yote, moja ya  vipaji vyangu vikubwa  ilikuwa kuondoka kabisa kutoka  kwenye shimo la huzuni ndani ya moyo wangu Baba yangu na  dada yangu walifariki  wakati nikiwa  umri wa chini ya miaka 18,...

SIO KWA MAZOEZI YA MAPEMA? DAKIKA 10 TU ZA IBADA YAKO NDICHO UNACHOHITAJI

Anza  siku yako vizuri,.’’ asubuhi yako ndio itakufanya uwe na siku nzuri  yote. Ratiba yako sahihi  itakupa mafanikio  Utakuwa umesikia hiki kitu kabla . hata hivyo,wakati  muda unaenda zake,  mara nyingi asbuhi nzuri huanzishwa na...

NJIA 5 ZA UKWELI KUKUWEZESHA KUTAFAKARI KILA SIKU.

Neno’’ tafakari’’  na ‘’kukumbuka’’ ni maneno yasio epukika siku hizi, pamoja na kiasi cha kutokuwa na mwisho wa  makala zote, kila kitu kina tokana na   kupunguza msongo wa mawazo ili kuwa na mahusiano bora...

MAKOSA 7 PENGINE UNAYAFANYA UNAPOJIPIMA MWENYEWE:

Kujipima inaonekama kama kazi rahisi sana.  Ni kwenda tu kwenye mzani,  na kusoma namba kwenye screen, na unakuwa umemaliza. Sawa? Sio sahihi, kujipima mwenyewe  ni ngumu kuliko unavyofikiri. Watu wengi wamekuwa wakifanya hayo makosa, lakini...

MLO RAHISI AMBAO UTAKUPUNGUZIA PAUNDI 10 KWA WIKI MOJA TU.

Kutokana na changamoto nyingi  za kupunguza uzito na kuondoa manyama uzembe ,fanya maamuzi ya  msingi  ya kufanya diet kwa siku 10 tu na utaona matokeo makubwa  yasiokuwa na madhara kiafya. Lakini bado ni uamuzi...

MAAJABU YA MAJI YA UVUGUVUGU UNAPOAMUA KUTUMIA KILA SIKU ASUBUHI:

Inawezekana unatumia kikombe cha chai  au kikombe cha  kahawa kila siku asubuhi, wengi wao hutumia maji ya kawaida ili kuanza siku vizuri. Hivi vitu vimekuwa ndio tabia ya kila siku , hata hivyo wachunguzi...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article