Category Events 4 articles to read

TUMIA MUDA WAKO VIZURI:

Clock2 Nafasi ulionayo katika maisha ni nzuri, ukiwa darasani ulijifunza  vizuri matumizi ya muda. hata unaweza kusoma tena vitabu mbalimbali.ili utumie muda wako vizuri  chukua hatua mpya ya  mpangilio wako kwa  siku , na ipe kipaumbele. anza kujiuliza maswali, je  nahita kujua kitu gani , siwezi kufanya vitu vyote  ninavyohitaji kwa siku? jibu ni rahisi tu , kila kitu ulichojifunza kuhusu matumizi ya muda ni kama ulipoteza muda tu kwa sababu havijakusaidia kitu. kabla hujaanza  kutunza muda lazima ujue muda ni nini hasa.

VITU 10 UNAVYOTAKIWA KUVIFAHAMU:

1.KWA NINI NI VIGUMU KUPUU UKIWA SAFARINI? Kuna kItu huwa najiuliza mara nyingi nikiwa niko safarini , hata wewe nafikiri ukiwa safarini  ni ngumu kupata  haja kubwa,  kwa nini, kwa sababu ya kubadili mazingira , na kukaa kwa muda mrefu   pamoja na kuvimbiwa  na hewa kujaa tumboni, sababu nyingine ni kula vyakula aina nyingi tofauti tofauti , pamoja na woga wa  njiani kwa kuwa hakuna usalama ukiwa katika hali  hio.UTUMBO huwa unafunga kwa sababu ya kukaa  kwa muda mrefu.