VITU 10 UNAVYOTAKIWA KUVIFAHAMU:

1.KWA NINI NI VIGUMU KUPUU UKIWA SAFARINI? Kuna kItu huwa najiuliza mara nyingi nikiwa niko safarini , hata wewe nafikiri ukiwa safarini  ni ngumu kupata  haja kubwa,  kwa nini, kwa sababu ya kubadili mazingira ,...

NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

RAIS JOHN POMBE  MAGUFULI AKIWA KATIKA MISA YA CHRISMASI MISA YA MOJA KWA MOJA ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM. Mungu alitupenda sisi akamtuma mwanae kupitia Mariamu. Nimejifunza kutoka kwa mariamu kuhusu na...

JINSI NGONO ILIVYONISAIDIA KUGUNDUA NINA MATATIZO YA KULA .

  Nakumbuka  jioni ile  tulivu kabisa, nilikuwa chuo. Nilikuwa na boyfriend wangu kwa muda wote wa masomo yangu, kwa umri huo, tulifanikiwa  kuwa na mahusiano mazuri yaliodumu kwa muda mrefu, na tuliishi pamoja. Tulifanya vitu vyote...

TUMIA MUDA WAKO VIZURI:

Nafasi ulionayo katika maisha ni nzuri, ukiwa darasani ulijifunza  vizuri matumizi ya muda. hata unaweza kusoma tena vitabu mbalimbali.ili utumie muda wako vizuri  chukua hatua mpya ya  mpangilio wako kwa  siku , na ipe...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article