Mahusiano Yaliopo Kati Ya Imani Na Maombi

Imani ya  kila dini ina nyenzo nyingi za kumsaidia muumini  anaeamini kwenda hatua nyingine. Mfumo huu ni wa maombi. Maombi ni njia yako  ya mawasiliano na Mungu.Unaweza kuomba chochote Unachokitaka Kwa imani yako.Ukienda kwa...

Barua Ya Wazi Kwa Mwanaume Ambae Nitampenda

Kwako mpendwa, Nafahamu umekuwa ukinisubiri  nifike kwako, kwa ajili yetu , tuweze kukutana. Kwa ajili ya ndoto yako iweze kuwa ya uhakika, Kwa ajili ya kuamini nguvu ya maombi  tena, lakini tafadhali elewa kuwa kwa...

JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI

Hatuwezi kuishi bila Upendo. Tunabaki na upungufu  wetu  kama hatutakuwa na uzoefu wa kupenda. Tunahitaji upendo zaidi kuliko  hata hewa tunayoivuta. Bila hivyo. maisha yetu hayana maana. tunapoteza  ukaribu wa kusudi letu. lakini wakati mwingine...

IMANI NA KUOMBA NI VITAMINI YA ROHO

Mwanadamu hawezi kuishi bila ya hivyo. Naamini kama ukiwa na Imani utaweza kutunza Uaminifu, Utakuwa na tabia nzuri,kama ni mtu wa shukrani, Utaona Mungu akifungua milango kwa ajili yako Amini ndani yako mwenyewe, kuwa na Imani...

MAANA YA EID MUBARAK

Katika Dini ya Kiislamu, Eid ni sherehe ya muhimu sana , na inaonyesha Upendo, kusherehekea maisha, na uaminifu kwa Mungu Allah. Sherehe mbili za eid kwa mwaka kwa waislamu ni Eid ul fitr na...

IMANI NA MASHAKA

Imani ni Uhakika wa mambo yatarajiwayo, Ni bayana ya mambo yasionekana . Maisha yanahitaji Imani, Inahitaji imani kusafisha meno yako, kuvua nguo zako, kuweka alarm, na kwenda kulala kila siku inapofika usiku Kitu cha kukumbuka ni...

FAHAMU SIRI YA KUMPENDA MUNGU KWA MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO ZOTE.

Ni miaka mingi nimekuwa nikijiuliza swali hili, nitawezaje kumpenda Mungu kwa moyo wangu wote, kwa akili zangu zote na kwa nguvu zangu zote? Kila nikisoma maneno haya  moyo wangu unaugua, nashindwa kuelewa kwa sababu...

FUNGUA MOYO KWA AJILI YA KUPENDA

Hii Ni Amri Nimewapa Mpendane Kujifunza kupenda. Inawezekana kuna swali moja tu ambalo watafutaji wanahitaji kujiuliza wenyewe kuhusu  hali zao za kiroho ya kwamba, Napenda kwa kiasi gani? Nilisikia hadithi  kuhusu watu wawili mwanamke na mwanaume...

UELEWA NDANI YA MAISHA YAKO

Ufahamu haufundishwi; hakuna mtu anaweza kufundisha ufahamu, unatakiwa uwepo kama mwanga ndani yako mwenyewe. Unatakiwa utafute ndani yako. Kwa sababu tayari upo ndani yako tangu kuzaliwa kwako.  Kama ukichimba ndani utaupata.Unachotakiwa kufanya ni kujifunza...

MAISHA YAKO YANATOKANA NA IMANI YAKO

Amini usiamini hivyo ndivyo ilivyo. Kila mtu jinsi alivyo , anavyoishi ni kutokana na Imani yake. Naendelea kukuletea  nguvu ya imani ndani yako . Mathayo: 9:29, Ndipo alipowagusa macho ,akasema,’’ kwa kadri ya imani yenu...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article