ONGEZA UMRI WA MAISHA YAKO KWA KUOMBA NA KUTAFAKARI.

Hivi karibuni, Tulikuwa tunajadiliana  na rafiki yangu  kuhusu afya na faida ya kuomba. Kutokana na nilichokipata,  matokeo yanaweza kukushangaza. Kutokana na yaliopita , kiwango cha uchumi ,na imani, maombi na meditation inaonekana  kama ni...

SIKILIZA NYIMBO 10 ZINAZOKUPA FARAJA NA UJASIRI

  mara nyingi unapokuwa na  mambo mengi ,unahitaji kupata faraja  ya nyimbo, sikiliza  nyimbo hizi zifuatazo utapenda    nakujisikia vizuri.   [youtube https://www.youtube.com/watch?v=f4JlzLKPTKM] 1.wakati ukiwa safarineni  ,safari ya mafanikio, wimbo huu utakupa faraja na kukutia moyo ,unapotafuta kukamilisha...

FAHAMU SIRI YA KUMPENDA MUNGU KWA MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO ZOTE.

Ni miaka mingi nimekuwa nikijiuliza swali hili, nitawezaje kumpenda Mungu kwa moyo wangu wote, kwa akili zangu zote na kwa nguvu zangu zote? Kila nikisoma maneno haya  moyo wangu unaugua, nashindwa kuelewa kwa sababu...

VITU 5 VIZURI ULIVYO NAVYO VYA SIRI.

Mara nyingi  huwa natafuta  vitu  vizuri vya kuniamusha katika maisha yangu. kwa nyakati nyingi ninapokuwa na msongo wa mawazo, kwa sababu msongo wa mawazo sio ugonjwa  ukiwa na  uelewa huo. hua naangalia vitu vizuri  5. Naulisha...

UWEZEKANO WA KUWA KARIBU NA MUNGU UPO,URAFIKI ULIANZIA KWAKE:

Unahisi kuwa karibu na Mungu? kuwa na mahusiano ya karibu na Mungu  inakuweka salama, mkamilifu na unakuwa imara .Mungu  yupo kwa ajili ya kukutazama wewe  na kukutakia maisha mazuri katika siku zako za kuishi, na...

KUNA WATU AMBAO WAMEWEZA KUELEZEA HIKI KITABU KWA UFUPI SANA:

Biblia ni kitabu ambacho kinanunuliwa sana ulimwenguni kote kuliko vitabu vyote, lakini  wasomaji ni wachache sana, kitabu hiki kimekuwa kama pambo la nyumbani , na ni kitabu kinachobebwa kama kinga  na watu wengi sana....

Hivi Ni Kwa Nini Mungu?

Mungu hubadili mioyo iliovunjika, katika miujiza yake ya mbinguni, upande mwingi  na upande mwingine, amefanya kwangu hata kwako atafanya na zaidi ya  unavyofikiri. Nafsi iliofungwa. Alikuwepo kaka mmoja muda mrefu alikuwa na matatizo ndani ya moyo...

KUNA WAKATI UNAPOHITAJI TUMAINI LA KUONDOKANA NA SIKU MBAYA:

Wakati unahitaji kuokoa siku. Hujawahi kukutana na siku mbaya ? kuna siku zingine   mpaka inafika usiku  bado   inasumbua, hata unapofika kitandani  unajitupa hapo  na kusema  afadhali, nafurahi siku hii imekwisha.Siku kama hizi mimi...

JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI

Hatuwezi kuishi bila Upendo. Tunabaki na upungufu  wetu  kama hatutakuwa na uzoefu wa kupenda. Tunahitaji upendo zaidi kuliko  hata hewa tunayoivuta. Bila hivyo. maisha yetu hayana maana. tunapoteza  ukaribu wa kusudi letu. lakini wakati mwingine...

UNAFAHAMU KAMA UNAWEZA KUPONA KIROHO NA KIMWILI?

Sisi tuna imani  tofauti   tofauti kila mmoja , uponyaji  wa pekee huja kwa mtu kutokana na imani yake, sio imani ya dini yake , nimeona watu wengi wakiombewa hata  kama sio wa imani...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article