UNAJUA KAMA KUNA FAIDA NYINGI ZA KUFUNGA?

Swali: Nyumbani kwako ni mlango upi unaofungwa na kufunguliwa mara nyingi? Jibu: Ni mlango wa Friji. Kufunga sio tu kuacha kula chakula .ukifanya sahihi kwa kiasi , kufunga kiroho itakusaidia, -Kuelewa tabia yako,nia yako , hamu yako...

MWONGOZO WA KWELI KATIKA NIA ZETU ZA NDANI

Ulimwenguni kuna dini mbali mbali, Dini hizi haziaminiani zenyewe kwa zenyewe , kwa sababu kila dini ina imani yake na njia yake . Lakini zote hizo ni kwa ajili ya lengo la kumfikia Mungu.Hakuna...

JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI

Hatuwezi kuishi bila Upendo. Tunabaki na upungufu  wetu  kama hatutakuwa na uzoefu wa kupenda. Tunahitaji upendo zaidi kuliko  hata hewa tunayoivuta. Bila hivyo. maisha yetu hayana maana. tunapoteza  ukaribu wa kusudi letu. lakini wakati mwingine...

MBINGU INAPOKUWA KIMYA: THAMANI YA MAOMBI HUJIBIWA

Maombi ni zaidi ya kufika mbali kuliko kupokea Neema. Watu wengi humwomba Mungu  kwa kumshukuru kwa ajili ya baraka, kuwaondoa kwenye masikitiko na  kwenye magumu, Kuongea nae, kumwambia vitu ili kuepukana na  matatizo mbalimbali. Sababu kubwa...

NGUVU YA NIA KATIKA KUMTAFUTA MUNGU.

Katika maisha ya kiroho Nia ina mambo mawili, ya kwanza ni Upendo na Kusudi, ya pili ni madhara na maono ya juu. Kila kitu kinategemea na nia. Kama utaweka nia yako kwa Mungu , roho...

Barua Ya Wazi Kwa Mwanaume Ambae Nitampenda

Kwako mpendwa, Nafahamu umekuwa ukinisubiri  nifike kwako, kwa ajili yetu , tuweze kukutana. Kwa ajili ya ndoto yako iweze kuwa ya uhakika, Kwa ajili ya kuamini nguvu ya maombi  tena, lakini tafadhali elewa kuwa kwa...

IMANI NA MASHAKA

Imani ni Uhakika wa mambo yatarajiwayo, Ni bayana ya mambo yasionekana . Maisha yanahitaji Imani, Inahitaji imani kusafisha meno yako, kuvua nguo zako, kuweka alarm, na kwenda kulala kila siku inapofika usiku Kitu cha kukumbuka ni...

UELEWA NDANI YA MAISHA YAKO

Ufahamu haufundishwi; hakuna mtu anaweza kufundisha ufahamu, unatakiwa uwepo kama mwanga ndani yako mwenyewe. Unatakiwa utafute ndani yako. Kwa sababu tayari upo ndani yako tangu kuzaliwa kwako.  Kama ukichimba ndani utaupata.Unachotakiwa kufanya ni kujifunza...

MAANA YA EID MUBARAK

Katika Dini ya Kiislamu, Eid ni sherehe ya muhimu sana , na inaonyesha Upendo, kusherehekea maisha, na uaminifu kwa Mungu Allah. Sherehe mbili za eid kwa mwaka kwa waislamu ni Eid ul fitr na...

FUNGUA MOYO KWA AJILI YA KUPENDA

Hii Ni Amri Nimewapa Mpendane Kujifunza kupenda. Inawezekana kuna swali moja tu ambalo watafutaji wanahitaji kujiuliza wenyewe kuhusu  hali zao za kiroho ya kwamba, Napenda kwa kiasi gani? Nilisikia hadithi  kuhusu watu wawili mwanamke na mwanaume...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article