Posts in category

faith& prayer


Wote tunahitaji upendo katika maisha yetu… Na simaanishi tu upendo wa kimapenzi. hio inaweza kuwa nzuri, lakini upendo huja kwa njia nyingi. kitu kinachotokea kwetu kutokana na upendo tunaohitaji ni …

0 34

Maelezo haya kuhusu kama Mungu anajua yalikuwepo toka enzi , miaka mingi iliopita. Baadhi ya watu walielewa dhana zote za Mungu, wengine walibaki hivyo bila ya kuelewa mpaka kufa kwao,kila …

0 48

Kila mtu anafahamu kuwa Mungu yupo.Mungu ana mpango mzuri kwako na kwamba yupo kweli.

0 34

Kuwa wa kiroho , katika misingi yake, ni kuwa makini ndani ya roho zetu na kuangalia hitaji lake. Mwili wangu una mahitaji ya chakula, usafi, mazoezi na mengine. vitu ambavyo …

0 60

Swali: Nyumbani kwako ni mlango upi unaofungwa na kufunguliwa mara nyingi? Jibu: Ni mlango wa Friji.

0 34

Hivi karibuni, Tulikuwa tunajadiliana  na rafiki yangu  kuhusu afya na faida ya kuomba. Kutokana na nilichokipata,  matokeo yanaweza kukushangaza.

1 35

Mara nyingi  huwa natafuta  vitu  vizuri vya kuniamusha katika maisha yangu. kwa nyakati nyingi ninapokuwa na msongo wa mawazo, kwa sababu msongo wa mawazo sio ugonjwa  ukiwa na  uelewa huo. …

0 34

Mungu hubadili mioyo iliovunjika, katika miujiza yake ya mbinguni, upande mwingi  na upande mwingine, amefanya kwangu hata kwako atafanya na zaidi ya  unavyofikiri. Nafsi iliofungwa. Alikuwepo kaka mmoja muda mrefu …

5 73

Biblia ni kitabu ambacho kinanunuliwa sana ulimwenguni kote kuliko vitabu vyote, lakini  wasomaji ni wachache sana, kitabu hiki kimekuwa kama

1 51

Unahisi kuwa karibu na Mungu? kuwa na mahusiano ya karibu na Mungu  inakuweka salama, mkamilifu na unakuwa imara .Mungu  yupo kwa ajili ya kukutazama wewe  na kukutakia maisha mazuri katika …

2 34