Posts in category

faith& prayer


Wakati unahitaji kuokoa siku. Hujawahi kukutana na siku mbaya ? kuna siku zingine   mpaka inafika usiku  bado   inasumbua, hata unapofika kitandani  unajitupa hapo  na kusema  afadhali,

2 34

Unapopita kwenye mambo mengi , shughuli  nyingi za hapa na pale  huwa unachoka sana unahitaji kukaa na kutulia  ukitafakari juu ya  vyote ambavyo umefanya kwa siku. pia kumbuka yule aliekuwezesha …

0 44

Kukua ni maumivu,  ukitaka kufanya mabadiliko ya kitu chochote ni maumivu, lakini  hakuna maumivu makali kama kukwama mahali ambapo  sio sehemu yako. yaani hutakiwi kuwa pale ila kwa sababu fulani …

0 47

Sisi tuna imani  tofauti   tofauti kila mmoja , uponyaji  wa pekee huja kwa mtu kutokana na imani yake, sio imani ya dini yake , nimeona watu wengi wakiombewa hata …

2 34

  mara nyingi unapokuwa na  mambo mengi ,unahitaji kupata faraja  ya nyimbo, sikiliza  nyimbo hizi zifuatazo utapenda    nakujisikia vizuri.

0 34