Kitu Gani Cha Muhimu Sana Katika Maisha Yako Mwaka Huu

Tabia au sifa zipi  zinakusukuma jinsi ya kuishi  maisha Yako? Kama mtu atakuuliza swali hili utalijibu vipi? Hili swali sio kuhusu mwaka mpya tu, ni kitu ambacho kinahusiana na undani wa maisha yako,  thamani yako,...

Kiini Cha Mbinu Ya Furaha Hakuna Mtu Amewahi Kukufundisha

Maongezi , makala na vitabu  vinatufundisha zaidi, tusihofu,jisikie vema. kama mwandishi wa makala hii  katika love life,  ninakusaidia . Ingawa wengi wetu hatujawahi kujua  hata mbinu moja  ya kuwa na maisha  ya furaha. Jifunze Kuwa...

Kitu Gani Kinatesa Watu Wengi Leo?

Umezaliwa ukiwa fresh ndani ya ubongo wako, kila kitu unahitaji kuingiziwa na watu waliokuzunguka. Mazingira uliopo. Kila hatua unayopitia  inahitaji kupata mafunzo. Lakini Ujinga umefunika nafsi kubwa ya mtu, hata asijue  nini cha kufanya ,...

Kwa Yeyote Ambaye Anapata Taabu Kujikubali

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wameshikiliwa sana na mambo yaliopita, Ni ngumu kwako kujikubali. Mambo mengi ambayo sio hata ya muhimu . Maamuzi yako ya sasa, Mchakato wa mawazo yako, tabia, mahusiano...

Njia 7 Za Kujifanyia Wema Wakati Upendo Wa Kipekee Hauji Kwa Urahisi

Hivi karibuni nilikuwa kwenye maendeleo ya kujifunza jinsi ya kuwa na mahusiano mazuri  na mimi mwenyewe.  Jitihada  hizo  ni za kuhisi kutopendwa na kutojithamini.Mara nyingi jitihadi za kujipenda ni ngumu  kuendeleza. Nashukuru niligundua  njia...

Wakati Thamani Inapokuwa Wazi Kwako, Kufanya Maamuni Inakuwa Rahisi.

Kufahamu thamani yangu imejaza sehemu kubwa ambayo ilikuwa inakosekana katika maisha yangu. Thamani yako inakuonyesha jinsi ulivyo, Watu wengi hawaelewi  kiasi cha kutosha  jinsi ya kutambua thamani zao. Thamani yako inategemea matendo yako. Inajionyesha kwenye...

Hatutaki Kisasi , Tunafikiria Tu Tunachokitaka

Inatokea kwa kila mtu;Tunakuwa na uzoefu wa maumivu tunayopata kutoka kwa mwingine , Na hutuacha na hasira ya kisasi  na huzuni ambayo tayari inakuwepo ndani yetu Au kwa maana nyingine ,  tunahisi tunaweka  katika muda...

Kukimbiza Furaha Haitakufanya Kuwa Na Furaha.

Tunapoongea kuhusu furaha,  Tunafikiria kukaa na furaha kila wakati --kila siku. kila dakika bila  ya mashaka.  Tunajaribu kufikia  hali hii ya Furaha kama ndio lengo letu. Na kuepuka kila kitu  ambacho kingeweza  kuondoa hio...

MOYO ULIO NA FURAHA UNATOKANA NA KUJIJALI

Tunapoongea kuhusu kujijali,  ni wakati wa kusherehekea  furaha ya moyo wako. tutaongea kuhusu Upendo; na pia tutaongea kuhusu kuwajali na kuwapenda  wengine. Kujipenda sio uchoyo, '' kuhusu mimi'' ni njia. ni katika kuheshimu hisia  hata...

NJIA RAHISI 13 ZA KUWA NA FURAHA KILA SIKU

Mabadiliko yalio mepesi  kwenye tabia zako za kila siku yatakuweka kwenye mstari wa furaha unayoitaka Umejikuta uko kwenye siku tofauti,  story hizo hizo,  imekuwa ni kawaida yako?  Basi muda huu , sio kesho , sio...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article