KWA NINI SHUKRANI NI NGUMU?

Shukrani ina faida nyingi , lakini ni ngumu kuidumisha. Kudumisha hizo asante   unafanya mawazo yako yawe juu, na hizo shukrani ni furaha ya ajabu. Shukrani haiwezi kuja kwa urahisi  kwetu wanawake kwa wanaume. Na ni kitu...

FANYA KILICHO SAHIHI MAISHANI UISHI KWA FURAHA NA KUWA NA MAFANIKIO

Vitu ambavyo unatakiwa kuvifanya kwa usahihi ili uishi kwa furaha. 1.Chukua tahadhari moja kila siku. hio itakusaidia kujisikia vizuri wala sio vibaya. 2.Jifunze kusema hapana unapohitaji kusema hivyo 3.Usiogope kuwa peke yako , yupo Mungu pamoja na...

Kitu Gani Kinatesa Watu Wengi Leo?

Umezaliwa ukiwa fresh ndani ya ubongo wako, kila kitu unahitaji kuingiziwa na watu waliokuzunguka. Mazingira uliopo. Kila hatua unayopitia  inahitaji kupata mafunzo. Lakini Ujinga umefunika nafsi kubwa ya mtu, hata asijue  nini cha kufanya ,...

Jinsi Ya Kufuta Hofu, Maumivu na Kuzitawala Hisia

Vitu vitatu vilivyopo kwenye Chanzo cha akili ya mtu. Hofu, Maumivu na kupoteza nguvu ya kutawala. Aina hizi tatu za chanzo cha hisia. Mara nyingi huwa nashindwa kufanya kitu chochote lakini  kuandika huwa sishindwi, kwa sababu...

Kiini Cha Mbinu Ya Furaha Hakuna Mtu Amewahi Kukufundisha

Maongezi , makala na vitabu  vinatufundisha zaidi, tusihofu,jisikie vema. kama mwandishi wa makala hii  katika love life,  ninakusaidia . Ingawa wengi wetu hatujawahi kujua  hata mbinu moja  ya kuwa na maisha  ya furaha. Jifunze Kuwa...

ZAWADI ILIYO NZURI KUPITA ZOTE SIKU YA VALENTINE

Wachunguzi wameona  mbinu nzuri ya kuongeza  mapenzi  ili kuwa na valentine  nzuri. Mwaka uliopita huenda  mkeo au mumeo alikupa  zawadi nzuri ya valentine iliokuwa ya kipekee. Kwa kufuatilia mila zetu za Kiafrika  zawadi zetu  ni za...

Misemo 20 Inayoonyesha Maana Ya Rafiki Wa Kweli

Tunapoongelea watu unaowaita marafiki ni kitu ambacho tunahitaji kukifanya tena na tena. Urafiki ulionao unakusaidia na kukujenga, au wanakurudisha nyuma? wakati mwingine tunaendeleza marafiki kwa sababu ni rahisi kuwepo nao, au kwa sababu wamekuwa wa...

NJIA RAHISI 13 ZA KUWA NA FURAHA KILA SIKU

Mabadiliko yalio mepesi  kwenye tabia zako za kila siku yatakuweka kwenye mstari wa furaha unayoitaka Umejikuta uko kwenye siku tofauti,  story hizo hizo,  imekuwa ni kawaida yako?  Basi muda huu , sio kesho , sio...

INATOKEA NINI UNAPOONA UMEFANYA KITU KIZURI ZAIDI

Mabadiliko yako pamoja na mitazamo yako unapokuwa umefanya kitu cha zaidi kuliko,Kila mtu anajitahidi kufanya kila awezalo kusudi apate furaha , kujiuliza mimi ni nani , kwa nini mimi, hilo  ni swali la kila...

Kukimbiza Furaha Haitakufanya Kuwa Na Furaha.

Tunapoongea kuhusu furaha,  Tunafikiria kukaa na furaha kila wakati --kila siku. kila dakika bila  ya mashaka.  Tunajaribu kufikia  hali hii ya Furaha kama ndio lengo letu. Na kuepuka kila kitu  ambacho kingeweza  kuondoa hio...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article