Posts in category

furaha


Kufahamu thamani yangu imejaza sehemu kubwa ambayo ilikuwa inakosekana katika maisha yangu. Thamani yako inakuonyesha jinsi ulivyo, Watu wengi hawaelewi  kiasi cha kutosha  jinsi ya kutambua thamani zao. Thamani yako …

0 43

Inatokea kwa kila mtu;Tunakuwa na uzoefu wa maumivu tunayopata kutoka kwa mwingine , Na hutuacha na hasira ya kisasi  na huzuni ambayo tayari inakuwepo ndani yetu

0 51

Tunapoongea kuhusu furaha,  Tunafikiria kukaa na furaha kila wakati –kila siku. kila dakika bila  ya mashaka.  Tunajaribu kufikia  hali hii ya Furaha kama ndio lengo letu. Na kuepuka kila kitu …

0 49

Tunapoongea kuhusu kujijali,  ni wakati wa kusherehekea  furaha ya moyo wako. tutaongea kuhusu Upendo; na pia tutaongea kuhusu kuwajali na kuwapenda  wengine.

0 51

Mabadiliko yalio mepesi  kwenye tabia zako za kila siku yatakuweka kwenye mstari wa furaha unayoitaka

0 57

Hujawahi kujikuta unaongea mwenyewe kuwa unayachukia maisha yako? Hapa utaweza kubadilisha maisha yako kabisa Nilitamani kuwa na furaha. Nilitaka niwe mmoja wa wale wenye furaha Duniani. Pia nina hamu ya …

1 44

Achilia. usitake kufuatilia kila kitu. haijalishi maisha yako  yakoje, ukitaka kuwa na furaha usifikirie kuhusu maisha ya baadae yatakuwaje, kwa sababu maisha unayotaka yatakuja kutokana na jinsi ulivyo leo

0 52

Hauhitaji kubadilishi kila kitu  kwanza ili kutengeneza furaha yako unayohitaji. Watu wengi sana hawajipendi wao wenyewe.  Wangetaka kufanya mazuri, kuwa na pesa nyingi, kuwa na hali nzuri, na kufanya mambo …

0 49

Maana ya maneno hubadilika kila baada ya muda. Baadhi ya wanahistoria huamini   kwamba  waandishi  wanabadilisha  maana ya maneno mara nyingi.

2 51

Vitu ambavyo unatakiwa kuvifanya kwa usahihi ili uishi kwa furaha. 1.Chukua tahadhari moja kila siku. hio itakusaidia kujisikia vizuri wala sio vibaya. 2.Jifunze kusema hapana unapohitaji kusema hivyo

0 55