Posts in category

furaha


Mabadiliko yako pamoja na mitazamo yako unapokuwa umefanya kitu cha zaidi kuliko,Kila mtu anajitahidi kufanya kila awezalo kusudi apate furaha , kujiuliza mimi ni nani , kwa nini mimi, hilo …

1 34

Wachunguzi wameona  mbinu nzuri ya kuongeza  mapenzi  ili kuwa na valentine  nzuri. Mwaka uliopita huenda  mkeo au mumeo alikupa  zawadi nzuri ya valentine iliokuwa ya kipekee.

0 34

Shukrani ina faida nyingi , lakini ni ngumu kuidumisha. Kudumisha hizo asante   unafanya mawazo yako yawe juu, na hizo shukrani ni furaha ya ajabu.

0 47

Jinsi unavyoitumia siku yako huwezi kufahamu kiasi gani unafurahia. Furaha. watu wote tunatafuta furaha, wengine wanatumia hata pesa kwa ajili tu ya kuwa na furaha japo kwa muda mfupi.

0 50

Tunapoongelea watu unaowaita marafiki ni kitu ambacho tunahitaji kukifanya tena na tena.

0 218

Huruma ni kuwatakia watu wengine wawe huru kutoka kwenye mahangaiko. ni kwa huruma tu watakuwa na mwanga katika maisha yao

0 37

Ulimwengu  hauna mwanga sehemu zote kwa wakati mmoja, ni kama hivyo tu,  vitu hutokea, na tunashikwa,  na kusahau kuhusu kila kitu muhimu.

1 34

Kila mtu ambae amekuwepo kwenye mahusiano analifahamu  hili, kuna uhakika katika maisha  panapokuwa na tabia nzuri za watu wengine. Ingawa kutumia muda  na wengine ni sehemu ya maisha ya furaha, …

1 53

Inakadiriwa kwamba  wote tuna mawazo 60,000-70,000 kila siku- na mengi yao ni negative. Inatisha, nashindwa kuelewa ni nini cha kufanya,  sitapata upendo. Sistahili kuwa na furaha. Hapana siwezi.

1 55