Category halisi 18 articles to read

Mbinu 5 Zinazo ondoa Aibu na Wasiwasi Wa Muda Mrefu

  Tupa mizigo yako kwa kutumia mbinu hizi. Inaonekana kwamba watu hawaamini kuwa kuna uwezo wa kuondoa  mizigo ya hisia mbaya kwa upesi zaidi. ingawa mazingira yanaonyesha  lazima kuwe na badiliko lingine kwanza.

NGUVU YA UKIMYA

131011135712-01-big-star-small-screen-horizontal-large-gallery Ukimya ni chombo kinachotuliza  mambo mengi  wakati wa maongezi . Katika maongezi huwa tuna nguvsahau au kutozingatia nguvu ya ukimya .

MAMBO GANI 3 AMBAYO WATU HALISI HUYAFANYA

chrisjstill-672x372 Lini nitakuwa mimi kabisa? Kujifahamu wewe ni nani ndio ushauri tunaopewa mara nyngi. Unapoenda kusailiwa kwa ajili ya kupata kazi au kwenye siku ya kumpata mpenzi unaemtaka, marafiki hutuambia kuwa jiamini mwenyewe. Ni ushauri mzuri.  Lakini  unamaanisha nini?

NI WAKATI WA KUACHA KUWAPONGEZA WANAOPOTEZA UZITO, KWA NINI?

istock_000021775901small Umepungua uzito? hili ni swali la kawaida limekuwa likiuulizwa mara nyingi. Nimemwona mtu ambae sijamuona siku nyingi , Anaonekana vizuri, ndio mawazo ya watu wengi. Ni tabia mbaya , na najaribu kuikata kabisa.

DONDOO ZA KUKUONGEZEA UWEZO WA KUJIAMINI.

optimistic-build-self-confidence Uko sahihi tayari… kama ulivyo tu. Ni lini ulijitazama mwenyewe kwenye kioo na kujipenda kama ulivyojiona?