NJIA 7 NZURI ZA MAWASILIANO KATIKA MAHUSIANO YAKO:

  Kuna aina nyingi za mahusiano, yapo ya kirafiki, ya familia, ya kazini, kwenye mahusiano ya mwanamke na mwanaume na hata mahusiano ya mwanamke na mwanamke na ya  mwanaume na mwanaume yapo. kila mmoja anamahitaji yake...

NGUVU YA UKIMYA

Ukimya ni chombo kinachotuliza  mambo mengi  wakati wa maongezi . Katika maongezi huwa tuna nguvsahau au kutozingatia nguvu ya ukimya . Ipo baadhi ya mifano : Mteja amekuja kwako na shida yake ni kuongea alio nayo,...

JINSI YA KUBORESHA KUMBUKUMBU NA UMAKINI:

Ubongo wako ni kama misuli. Bila ya kwenda kwenye gym ili kuijenga misuli kwa chakula sahihi. Haiwezi kukua, ni sawa tu na ubongo.  Kama haujali  kuulinda vizuri itakuwa ni sawa kama mtu yeyote tu...

TABIA 15 WATU WENYE AKILI ZA NGUVU HUSHIRIKI PAMOJA.

1.Akili za wenye nguvu : Hukubali muda wao kipekee , Lakini Watu wenye  akili dhaifu  huhitaji  company. 2.Watu wenye akili imara,  huishi wakati uliopo. Lakini watu wenye akili dhaifu  hufikiria yaliopita. 3.Watu wenye akili za nguvu,  hufanya...

NJIA RAHISI 6 ZA KUONDOA NGUVU YA MAWAZO HASI YANAYOKUZUNGUKA.

Umewahi kuwa na hisia ya kitu fulani cha mbali? Una upungufu wa mawazo chanya? Au unajisikia kuwa na  uwepo mwingi wa negative  ukikuzunguka kila mahali? Nguvu ya mawazo hasi  zinaweza kukumalizia maisha yako yote. Kuondoa...

ZOEA KUANZA SIKU KWA DAKIKA CHACHE ZA UTULIVU WA AKILI:

AMANI YA NDANI Kuna aina  nyingi za tafakari, watu mbalimbali wanafundisha kuhusu kutafakari kwa majina tofauti na makundi  mbalimbali, nimechunguza na kuona kuwa  kuna watu  wa aina kama tatu hivi. 1.Wapo walimu  wanaojisifia kuwa wao ni...

DALILI ZINAONYESHA KWAMBA UNA WASIWASI WA KUZIDI. JINSI YA KUONDOA ...

Nina ufahamu wa ukweli kwamba   mimi ni mtu wa wasiwasi sana ,  nimekuwa nikijipelekesha mwenyewe kama kichaa  wakati mwingine   kufikiria na wasiwasi, na katika mambo ya kawaida madogo madogo sana  ukweli  ni fikra mbaya,...

DONDOO ZA KUKUONGEZEA UWEZO WA KUJIAMINI.

Uko sahihi tayari… kama ulivyo tu. Ni lini ulijitazama mwenyewe kwenye kioo na kujipenda kama ulivyojiona? Kila siku tunashambuliwa  na  image za warembo  wanaokuwa nusu uchi na kuonyeshwa kwenye magazeti  juu, tayari  wana sura nzuri...

JINSI YA KUPUNGUZA FIKRA MBAYA ILI UWEZE KUTOSHEKA KATIKA MAISHA:

Uwe na uelewa  katika fikra ya maneno. Ni  mazungumzo ya  ulimwengu. Wewe ni mwanadamu, uliekamilika na majukumu na uwezekano . Akili yako iwe inaangalia kwa mambo yalio positive, na utakuwa unaendelea na safari yako...

ISHARA 10 ZINAKUONYESHA KUWA NI MTU UNAYEFIKIRI SANA.

Je, unafikiria sana? Unatumia muda mwingi kufikiri mambo kupita kiasi  kuliko  kufanyia kazi  hivyo? Hapa kuna  ishara zifutazo  ambazo utajitambua kuwa ni mtu wa  kufikiri sana bila vitendo au la. 1.Unafikiria Zaidi Mambo Yanayokuja, Kuliko...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article