UMUHIMU WA KUKUMBUKA.

Kumbukumbu ni nini.  kumbukumbu ni kitu ambacho kipo ndani ya ubongo wa mwanaadamu ,ambacho kinamsaidia mtu kukumbuka mambo yaliyopita au kitu cha muhimu ambacho kilitokea ,yaweza kuwa ni mambo ya kifamilia au ya serikali...

INAMAANISHA NINI KUWA MWANAUME. HAPA NI KWA WANAUME WOTE AMBAO…

Leo nataka  nimuadhimishe mwanaume ambae  anajaribu  kujielezea upya  kuwa ina maana gani  kuwa yeye ni mwanaume. 1.Hapa ni kwa mwanaume ambaye anaitikia badala ya kujibu,  hapa ni kwa mwanaume anaejali mwili wake na kula kama...

DONDOO ZA KUKUONGEZEA UWEZO WA KUJIAMINI.

Uko sahihi tayari… kama ulivyo tu. Ni lini ulijitazama mwenyewe kwenye kioo na kujipenda kama ulivyojiona? Kila siku tunashambuliwa  na  image za warembo  wanaokuwa nusu uchi na kuonyeshwa kwenye magazeti  juu, tayari  wana sura nzuri...

MWANGALIE BINADAMU KWA MTAZAMO SAHIHI, WENGI WANA SHOW YA MIKONO

Show ya mikono, please . Unaamini nini , kipi unachoamini? Thamani yako iko wapi? Unaamini nini katika  kawaida ya moyo wa binadamu? Kila binadamu ana jina la siri kwenye kipaji chake. umewahi kugundua hilo? Ingia kwenye...

ZOEA KUANZA SIKU KWA DAKIKA CHACHE ZA UTULIVU WA AKILI:

AMANI YA NDANI Kuna aina  nyingi za tafakari, watu mbalimbali wanafundisha kuhusu kutafakari kwa majina tofauti na makundi  mbalimbali, nimechunguza na kuona kuwa  kuna watu  wa aina kama tatu hivi. 1.Wapo walimu  wanaojisifia kuwa wao ni...

DALILI ZINAONYESHA KWAMBA UNA WASIWASI WA KUZIDI. JINSI YA KUONDOA ...

Nina ufahamu wa ukweli kwamba   mimi ni mtu wa wasiwasi sana ,  nimekuwa nikijipelekesha mwenyewe kama kichaa  wakati mwingine   kufikiria na wasiwasi, na katika mambo ya kawaida madogo madogo sana  ukweli  ni fikra mbaya,...

JINSI YA KUPUNGUZA FIKRA MBAYA ILI UWEZE KUTOSHEKA KATIKA MAISHA:

Uwe na uelewa  katika fikra ya maneno. Ni  mazungumzo ya  ulimwengu. Wewe ni mwanadamu, uliekamilika na majukumu na uwezekano . Akili yako iwe inaangalia kwa mambo yalio positive, na utakuwa unaendelea na safari yako...

ISHARA 10 ZINAKUONYESHA KUWA NI MTU UNAYEFIKIRI SANA.

Je, unafikiria sana? Unatumia muda mwingi kufikiri mambo kupita kiasi  kuliko  kufanyia kazi  hivyo? Hapa kuna  ishara zifutazo  ambazo utajitambua kuwa ni mtu wa  kufikiri sana bila vitendo au la. 1.Unafikiria Zaidi Mambo Yanayokuja, Kuliko...

NI WAKATI WA KUACHA KUWAPONGEZA WANAOPOTEZA UZITO, KWA NINI?

Umepungua uzito? hili ni swali la kawaida limekuwa likiuulizwa mara nyingi. Nimemwona mtu ambae sijamuona siku nyingi , Anaonekana vizuri, ndio mawazo ya watu wengi. Ni tabia mbaya , na najaribu kuikata kabisa. Kwa Nini...

Mambo Ambayo Unatakiwa Kuyafahamu Leo Tarehe 10 August.

1.Kitu ambacho amesema blake lively kwenye  interview. Amesema  kitu ambacho mimi na wewe huwa tunakifikiria sana mara nyingi ; Nafikiri  mwili wa mwanamke  baada ya kujifungua mtoto  unakuwa wa kushangaza … unaleta kiumbe kipya duniani,...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article