JINSI YA KUPUNGUZA FIKRA MBAYA ILI UWEZE KUTOSHEKA KATIKA MAISHA:

Uwe na uelewa  katika fikra ya maneno. Ni  mazungumzo ya  ulimwengu. Wewe ni mwanadamu, uliekamilika na majukumu na uwezekano . Akili yako iwe inaangalia kwa mambo yalio positive, na utakuwa unaendelea na safari yako...

ISHARA 10 ZINAKUONYESHA KUWA NI MTU UNAYEFIKIRI SANA.

Je, unafikiria sana? Unatumia muda mwingi kufikiri mambo kupita kiasi  kuliko  kufanyia kazi  hivyo? Hapa kuna  ishara zifutazo  ambazo utajitambua kuwa ni mtu wa  kufikiri sana bila vitendo au la. 1.Unafikiria Zaidi Mambo Yanayokuja, Kuliko...

MWANGALIE BINADAMU KWA MTAZAMO SAHIHI, WENGI WANA SHOW YA MIKONO

Show ya mikono, please . Unaamini nini , kipi unachoamini? Thamani yako iko wapi? Unaamini nini katika  kawaida ya moyo wa binadamu? Kila binadamu ana jina la siri kwenye kipaji chake. umewahi kugundua hilo? Ingia kwenye...

JINSI YA KUBORESHA KUMBUKUMBU NA UMAKINI:

Ubongo wako ni kama misuli. Bila ya kwenda kwenye gym ili kuijenga misuli kwa chakula sahihi. Haiwezi kukua, ni sawa tu na ubongo.  Kama haujali  kuulinda vizuri itakuwa ni sawa kama mtu yeyote tu...

NJIA 7 NZURI ZA MAWASILIANO KATIKA MAHUSIANO YAKO:

  Kuna aina nyingi za mahusiano, yapo ya kirafiki, ya familia, ya kazini, kwenye mahusiano ya mwanamke na mwanaume na hata mahusiano ya mwanamke na mwanamke na ya  mwanaume na mwanaume yapo. kila mmoja anamahitaji yake...

ZOEA KUANZA SIKU KWA DAKIKA CHACHE ZA UTULIVU WA AKILI:

AMANI YA NDANI Kuna aina  nyingi za tafakari, watu mbalimbali wanafundisha kuhusu kutafakari kwa majina tofauti na makundi  mbalimbali, nimechunguza na kuona kuwa  kuna watu  wa aina kama tatu hivi. 1.Wapo walimu  wanaojisifia kuwa wao ni...

UMUHIMU WA KUKUMBUKA.

Kumbukumbu ni nini.  kumbukumbu ni kitu ambacho kipo ndani ya ubongo wa mwanaadamu ,ambacho kinamsaidia mtu kukumbuka mambo yaliyopita au kitu cha muhimu ambacho kilitokea ,yaweza kuwa ni mambo ya kifamilia au ya serikali...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article