Madhabahu Binafsi

Kila mtu anatakiwa kuwa na madhabahu yake mwenyewe mbali na madhabahu ya kuchangia na wengi.  Kuna madhabahu ya aina mbili .  1.Madhabahu ya kiroho 2.Madhabahu ya kimwili Huwezi kufanikiwa  kwenye madhabahu ya watu wote. Kumbuka ukitafuta pesa...

NURU YA MUDA ( THE LIGHT OF TIME)

Kitu chochote ambacho unakifanya  lazima kwanza kiwe na Nuru. Unapoona Nuru umeona Pesa. Hazina zote zimefichwa kwenye Giza. Ni muhimu kuitafuta Nuru ili upate Pesa. Kila mahali ambapo unaona changamoto , au umekwama kwa jambo...

Sitawisha Sifa Zinazompendeza Mungu

Bila shaka , kumpendeza Mungu  kunahusisha mambo mengi zaidi kuliko tu kuepuka  mambo yanayo mchukiza. Kitu kikubwa unachohitaji ni kupenda mambo ambayo Mungtu anayapenda. Pendo lako lisiwe na unafiki ndani yake. ni bora kuchukia uovu...

Tofauti Kati Ya Uongozi Wa Kiungu Na Mwanadamu

Uongozi kiungu  unatoka kwa Mungu, Ina maana sio wa mwanadamu bali ni wa Mungu. Mwelekeo ni wa Mungu. Kufahamu ni mahali gani , ni kitu gani,  na ni wapi,  wakati  gani na muda upi. Mwelekeo...

Jinsi Ya Kutafuta Mume ,Mke Kwa Njia Ya Mungu

Unapataje mke au mume kwa njia ya Mungu. Kila mtu kwa wakati maalumu anahitaji awe na mwenza sahihi  ambaye ameumbwa au kutengenezwa kwa ajili yake. jinsi gani basi unaweza kupata mwenza  katika Maisha yako. Kupata mume...

”Kama” Ni Neno Ambalo Limetumiwa Upande Wa Mwanadamu Sio Wa Mungu

Neno hili kama Linavutia.Ni moja ya neno Lililoongelewa sana Kwenye Biblia moja kwa moja kwenye majukumu yetu na lina masharti. Yesu alitumia neno hili mara nyingi kwenye Agano  Jipya kwenye vitabu vya injili. Mara nyingi...

Kanuni Za Maombi Yanayojibiwa

Watu wanafundishwa kusali. Ni kweli , ni kweli kabisa. Zipo kanuni nyingi, kuna kanuni za kiaskari, Zipo kanuni za ufalme wa Mungu. Maombi ni ushirika kati ya mwanadamu na Mungu.  Mungu amesema Niite nami nitakuitikia, Nitakuonyesha...

Imani Inayovutika ( The elastic Faith)

Kama Imani yako sio ya plastic, haiwezi kukua. haiwezi kuvutika. Kuna imani za chuma, mbao, kamba, ambayo kila mara inaona hofu, mashaka  unapoingia katika magumu. lakini Mungu alimpa mwanadamu Imani ya Plastic.  Mitume walimwambia ,...

Maisha Yanayofanya Kazi Na Muda

Kutubu maana yake ni kubadilika jinsi unavyofikiria , jinsi unavyowaza, jinsi unavyohisi, jinsi unavyoona Na jinsi unavyotenda. Badilisha Akili yako. Tokea wakati huo Yesu  alianza kuhubiri  na kusema, Tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni...

Watu 10 Wabaya Zaidi Kanisani Kwako

Watu wabaya zaidi kanisani kwako inaweza ikawa sio wale ambao unawafikiria kichwani mwako. Kusema kweli , wanaweza kuwa ni wa muda kwa muda, pamoja na wewe. Watu wote wamejiweka katika utakatifu, lakini bado wana safari...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article