Posts in category

Imani Na Maombi


Kubadilika ni kugeuka, kuacha kufikiri mambo ya zamani na kufikiri upya, kuacha kufuata mambo yasiofaa na  kufanywa upya ndani ya akili yako, ili uweze kutambua mapenzi ya Mungu aliyokuandalia ya …

0 91

Ufalme wa Mungu hupatikana kwa nguvu na wenye nguvu wauteka.  Omba usiku na asubuhi ili uweze kuona matokeo haraka.

0 243

Yeye ni sababu ya kila kitu. Mungu ni Nuru. Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake , Viko kwa uweza wake. Tena vinarejea kwake.Utukufu una yeye hata milele.

0 89

Katika maisha chochote unachokiamini utakifanya. Imani ni ujasiri alionao mtu, imani ni Nuru iliopo kwa mtu, Imani ni mbegu ambayo mtu akiitumia vizuri lazima impatie matunda, Imani ni kuthubutu kufanya …

0 72

Watafiti waligundua kuwa ndani ya Biblia Kuna mistari 2350 inayoongelea pesa na mali.

0 49

Kuna vitu ambavyo vinazuia Unabii wako usitimie , Lakini nakuambia Kuwa upo uwezekano . Unabii wako lazima utimie. 

0 59

  Huenda kuna kitu kiilikukamata ukawa huwezi kusogea  mahali ulipo, Amka sasa jivike nguvu zako Ee mwanadamu kwa maana tangia sasa hataingia ndani mwako mtu mbaya anayekuharibu.  Jifungulie vifungo vya …

0 65

Tunafundisha kumpenda Mungu, Kumpenda jirani na kuipenda nafsi yako,  Tunafundisha vitu ambavyo binadamu ameruka, amesahau, hakufundishwa kabisa. nini cha kuwekeza kwenye ufalme wa Mungu…

0 103

Imani ni sasa. Ni sasa hivi.  fahamu maarifa yatendayo kazi na neno la Mungu. Unachokiamini unakisema. unakuza imani kwenye matendo sio maneno. Kuishi  kwa imani sio kwa kuona.

0 53

Kushindwa na kushinda ni kazi ya ndani. Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Unachokiamini ndicho unachokiishi. Huwezi kuamini kitu kingine  halafu uishi tofauti. 

0 70