Jinsi Ya Kutafuta Mume ,Mke Kwa Njia Ya Mungu

Unapataje mke au mume kwa njia ya Mungu. Kila mtu kwa wakati maalumu anahitaji awe na mwenza sahihi  ambaye ameumbwa au kutengenezwa kwa ajili yake. jinsi gani basi unaweza kupata mwenza  katika Maisha yako. Kupata mume...

Dalili Za Uamusho Wa Kiroho.

Uamsho wa kiroho ni badiliko rahisi  la ndani ya ufahamu wa mtu. Uamusho wa kiroho sio maendeleo yenye mwisho. Ni Uhakika unaoonyesha  matendo na mawazo  ya mtu mwenye mwanga  halisi wa Mungu kulingana na mitazamo...

Kanuni Za Maombi Yanayojibiwa

Watu wanafundishwa kusali. Ni kweli , ni kweli kabisa. Zipo kanuni nyingi, kuna kanuni za kiaskari, Zipo kanuni za ufalme wa Mungu. Maombi ni ushirika kati ya mwanadamu na Mungu.  Mungu amesema Niite nami nitakuitikia, Nitakuonyesha...

Hatua Zenye Nguvu Ya Kujisalimisha Kiroho

Kujisalimisha kiroho ni muhimu unapokuwa unaendelea  katika hatua ya juu ya kuwepo kwenye  Nuru Ya Upendo Kujisalimisha kiroho ni ufunguo  wa ujuzi ambao utakuokoa  unapoendelea  kuwepo katika hatua ya juu ya nuru ya upendo, na...

Jinsi Ya Kulea Ukuaji Wa Kiroho

Yule mtoto akakua ,akaongezeka nguvu,amejaa hekima , na neema ya Mungu ilikuwa juu yake Kulea mahusiano yako na Mungu inatakiwa  kujichunguza  ndani ya roho yako. Unaweza kuwa na dini  bila ya kuwa wa kiroho. Sasa...

Kuonyeshana Upendo Pamoja Na Kuhamasishana

Kila mtu anahitaji upendo. Kila mtu anahitaji  kutiwa moyo. Nahitaji kutiwa moyo.Unahitaji kuhamasishwa. Kila mtu anahitaji msukumo mdogo ili aweze  kufanya  mambo ya Mungu na kuondokana na matatizo  au kufanya jambo lingine katika maisha...

Imani Inayovutika ( The elastic Faith)

Kama Imani yako sio ya plastic, haiwezi kukua. haiwezi kuvutika. Kuna imani za chuma, mbao, kamba, ambayo kila mara inaona hofu, mashaka  unapoingia katika magumu. lakini Mungu alimpa mwanadamu Imani ya Plastic.  Mitume walimwambia ,...

Ukweli Kuhusu Pombe Na Maisha Ya Kiroho

Je pombe ina nafasi katika maisha yako ya kiroho?  Pombe haina faida kwako unapotembea katika maisha yako ya kiroho.  Hakuna badiliko lolote linalokuja  lenye kuleta maana yoyote  kutokana na kutumia kilevi. Hata kama wewe sio...

Misingi Ya Kuwa Mtu Mpya

Kuwa mtu mpya ni kuzaliwa upya.  Huwezi kuwa mtu mpya bila ya kufanya mabadiliko ndani ya moyo wako, mwili wako , Akili yako na hisia zako. Ukifanyika upya utapata msingi wa mambo yote. Ni kiini...

Ili Ufanikiwe Lazima Ushinde Vita Ya Ndani

Kushindwa na kushinda ni kazi ya ndani. Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Unachokiamini ndicho unachokiishi. Huwezi kuamini kitu kingine  halafu uishi tofauti.  Mara nyingi sana Wazazi ndio wanaharibu msingi wa watoto wao. Fikiria ni kitu...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article