Ili Ufanikiwe Lazima Ushinde Vita Ya Ndani

Kushindwa na kushinda ni kazi ya ndani. Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Unachokiamini ndicho unachokiishi. Huwezi kuamini kitu kingine  halafu uishi tofauti.  Mara nyingi sana Wazazi ndio wanaharibu msingi wa watoto wao. Fikiria ni kitu...

Kanuni Za Imani Katika Matendo

Imani ni sasa. Ni sasa hivi.  fahamu maarifa yatendayo kazi na neno la Mungu. Unachokiamini unakisema. unakuza imani kwenye matendo sio maneno. Kuishi  kwa imani sio kwa kuona. Pigana vita vizuri vya imani, ushikilie imani...

NURU YA MUDA ( THE LIGHT OF TIME)

Kitu chochote ambacho unakifanya  lazima kwanza kiwe na Nuru. Unapoona Nuru umeona Pesa. Hazina zote zimefichwa kwenye Giza. Ni muhimu kuitafuta Nuru ili upate Pesa. Kila mahali ambapo unaona changamoto , au umekwama kwa jambo...

Sitawisha Sifa Zinazompendeza Mungu

Bila shaka , kumpendeza Mungu  kunahusisha mambo mengi zaidi kuliko tu kuepuka  mambo yanayo mchukiza. Kitu kikubwa unachohitaji ni kupenda mambo ambayo Mungtu anayapenda. Pendo lako lisiwe na unafiki ndani yake. ni bora kuchukia uovu...

Wekeza Kwenye Ufalme Wa Mungu

Tunafundisha kumpenda Mungu, Kumpenda jirani na kuipenda nafsi yako,  Tunafundisha vitu ambavyo binadamu ameruka, amesahau, hakufundishwa kabisa. nini cha kuwekeza kwenye ufalme wa Mungu... Bali utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake. Na mengine...

Tofauti Kati Ya Uongozi Wa Kiungu Na Mwanadamu

Uongozi kiungu  unatoka kwa Mungu, Ina maana sio wa mwanadamu bali ni wa Mungu. Mwelekeo ni wa Mungu. Kufahamu ni mahali gani , ni kitu gani,  na ni wapi,  wakati  gani na muda upi. Mwelekeo...

Hatua Zenye Nguvu Ya Kujisalimisha Kiroho

Kujisalimisha kiroho ni muhimu unapokuwa unaendelea  katika hatua ya juu ya kuwepo kwenye  Nuru Ya Upendo Kujisalimisha kiroho ni ufunguo  wa ujuzi ambao utakuokoa  unapoendelea  kuwepo katika hatua ya juu ya nuru ya upendo, na...

Njia Rahisi Ya Kuondoa Tabia Mbaya Usizozipenda

  badilika Wala msifuatishe namna ya Dunia hii, Bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu . 1.Anza kujifikiria wewe mwenyewe kwanza ni tabia gani unayoitaka na ipi huitaki, Unao uwezo mkubwa ndani yako, ila hujajua kuutumia. Hapo Mwanzo...

Jinsi Ya Kulea Ukuaji Wa Kiroho

Yule mtoto akakua ,akaongezeka nguvu,amejaa hekima , na neema ya Mungu ilikuwa juu yake Kulea mahusiano yako na Mungu inatakiwa  kujichunguza  ndani ya roho yako. Unaweza kuwa na dini  bila ya kuwa wa kiroho. Sasa...

Kabiliana Na Woga Wa Aina Hii Kila Mahali

Kama hutakabiliana  na aina hizi za woga  utajikuta umefungiwa kwenye kifungo ambacho hutaweza kutoka kwa urahisi. Lakini kama ukijitahidi kupambana na woga utakuwa huru katika maeneo  mengi katika maisha yako 1.Woga wa kujali watu wanafikiria...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article