Misingi Ya Kuwa Mtu Mpya

Kuwa mtu mpya ni kuzaliwa upya.  Huwezi kuwa mtu mpya bila ya kufanya mabadiliko ndani ya moyo wako, mwili wako , Akili yako na hisia zako. Ukifanyika upya utapata msingi wa mambo yote. Ni kiini...

Kuonyeshana Upendo Pamoja Na Kuhamasishana

Kila mtu anahitaji upendo. Kila mtu anahitaji  kutiwa moyo. Nahitaji kutiwa moyo.Unahitaji kuhamasishwa. Kila mtu anahitaji msukumo mdogo ili aweze  kufanya  mambo ya Mungu na kuondokana na matatizo  au kufanya jambo lingine katika maisha...

Furahia Eid al Adha 2017, Salamu Na Maombi

Alhamisi ya tarehe 31/8/2017 ni mwanzo wa  ibada ya waislamu wote  duniani. Sikuku hii imekuja baada ya Eid al Fitr ambayo huwa ni wakati wa maombi na kufunga kwa waislamu wote.  Katika sikukuu hii waumini wote...

Hatua Zenye Nguvu Ya Kujisalimisha Kiroho

Kujisalimisha kiroho ni muhimu unapokuwa unaendelea  katika hatua ya juu ya kuwepo kwenye  Nuru Ya Upendo Kujisalimisha kiroho ni ufunguo  wa ujuzi ambao utakuokoa  unapoendelea  kuwepo katika hatua ya juu ya nuru ya upendo, na...

Ukweli Kuhusu Pombe Na Maisha Ya Kiroho

Je pombe ina nafasi katika maisha yako ya kiroho?  Pombe haina faida kwako unapotembea katika maisha yako ya kiroho.  Hakuna badiliko lolote linalokuja  lenye kuleta maana yoyote  kutokana na kutumia kilevi. Hata kama wewe sio...

Nguvu Hufuata Umakini Wako Ulipo

Nguvu inafuata malengo yanakoelekea Nguvu hutiririka mahali penye umakini... Umewahi kusikia msemo huu? Ni ukweli halisi. Nguvu yako inafuata nia yako ili ikawajibike. Hii ni kweli kwa kiwango cha juu. Ufahamu na Moyo ulio Wazi Kwa mfano unatakiwa kufungua...

Dalili Za Uamusho Wa Kiroho.

Uamsho wa kiroho ni badiliko rahisi  la ndani ya ufahamu wa mtu. Uamusho wa kiroho sio maendeleo yenye mwisho. Ni Uhakika unaoonyesha  matendo na mawazo  ya mtu mwenye mwanga  halisi wa Mungu kulingana na mitazamo...

Ushuhuda Mwanzo Wake Ni Mtihani

Najua unafahamu watu wengi wenye historia nzuri ambazo Mungu amewafanyia  katika maisha yao. Mara nyingi hupenda kusikiliza shuhuda, lakini natambua kuwa nyuma ya kila shuhuda ya mtu ina changamoto kubwa na ngumu ... Hakuna...

Kabiliana Na Woga Wa Aina Hii Kila Mahali

Kama hutakabiliana  na aina hizi za woga  utajikuta umefungiwa kwenye kifungo ambacho hutaweza kutoka kwa urahisi. Lakini kama ukijitahidi kupambana na woga utakuwa huru katika maeneo  mengi katika maisha yako 1.Woga wa kujali watu wanafikiria...

Jinsi Ya Kulea Ukuaji Wa Kiroho

Yule mtoto akakua ,akaongezeka nguvu,amejaa hekima , na neema ya Mungu ilikuwa juu yake Kulea mahusiano yako na Mungu inatakiwa  kujichunguza  ndani ya roho yako. Unaweza kuwa na dini  bila ya kuwa wa kiroho. Sasa...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article