Category kazi & maisha 47 articles to read

Siri Kubwa Za Mafanikio Kwenye Ndoa, Mapenzi, Kazi, Biashara

  Jifunze Sheria Za Muda.zipo sheria nyingi lakini leo nakuletea baadhi tu kati ya sheria hizo. Ukithamini muda utayathamini maisha yako. Huwezi kumpendeza Mungu kama unatumia Muda Vibaya. Dhambi nyingi zinatendeka kwenye Muda .

Kwa Nini Watu Wabaya Wanasonga Mbele

  Wachunguzi wamegundua kitu kinachowafanya watu  wabaya kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko watu wale ambao ni watiifu.

Thaminisha Muda Wako Katika Mambo Ya Maana

Najua uko busy. Wote tuko hivyo. Kuna bills za kulipia mahali kwingi, Kutazama watoto, Kuwapigia watu wa mauzo, kufanya order mbalimbali, kujibu emails, kutatua matatizo.

Kazi Nyingi, Pesa, Na Maisha Ambayo Nimejifunza 2017

1.Watu wengi huacha kusoma vitabu mara tu wanapomaliza shule, Usiwe mmoja wa wale. Kazi yako kubwa siku hizi ni kusoma, japo utaanza kushangaa kusikia hivyo.  Nasoma kazini,nasoma sehemu nyingine mbali na kazi dakika 30 mpaka 60. Nafurahia kujisomea.

Umekuwa Ukipoteza Muda Wako Vibaya?

Umejikuta tu uko bussy siku nzima  katika mipangilio yako ya kazi?  Umekuwa ukivuta muda  mara nyingi?

To Do List 2018. Gods 24hrs Economy

[caption id="attachment_5337" align="alignnone" width="653"] list[/caption] Uchumi wako una masaa mangapi?  Wewe ni mtu unayeandika kitu unapofundishwa? unasoma vitabu ? Unafikiri kwa muda gani? Unatafuta taarifa za kutosha? Unatafuta wazo ndani yako?