NI AINA GANI YA UTU ULIONAO? TABIA NA HISIA ZA KIPEKEE NI ZIPI?

Iwapo unavutiwa na  mawazo ya kipekee ya aina ya  utu wa mtu  au pengine unaziamini kuwa hizo tabia  sio za msingi , ni mara nyingi  ni hisia za  kuona  kuwa ni aina gani pengine...

MABADILIKO 7 UNAWEZA KUJIFUNZA UJUZI MWINGINE KATIKA MAISHA HATA KAMA UMEFILISIKA:

  Ujuzi ni lango katika kila sifa nzuri ya elimu na  maisha. Kuna tatizo, pesa imekuwa ngumu kwa wengi wetu katika kulipia madeni , kodi za nyumba, kuhudumia gari mafuta na mahali pa kuweka gari, malipo...

NJIA 10 ZA KUBADILI VIKWAZO VYA MAENDELEO

ISHI MAISHA YAKO.   Nilikutana na msichana mmoja ambaye alikuwa akifanya biashara ya nguo, akiwa amekata tamaa kabisa ya maisha baada ya kupoteza pesa zako   wakati huohupo biashara ikiwa inaendelea.Na hii imewatokea watu wengi na...

UTAELEZEA NINI BAADA YA KUFIKIA UMRI WA MIAKA 25.

Kufikia umri  wa 25 ni muhimu . ni  wakati wa kuelewa  na kuanza kutambua utu uzima baada ya kutoka kipindi cha twenties,  utaanza kupata  maoni ya  kufahamu kuwa wewe ni nani  na ni mtu...

NATAMANI KAMA NINGEPATA USHAURI NIKIWA KIJANA:

Neno lolote la mwisho? Mkufunzi aliuliza swali tukiwa ndani ya chumba cha mafunzo,. Neno lolote la  mwisho la hekima? mimi kimya, nilikuwa nimeganda tu kama sipo . Nimekuwa nikihudhuria mafunzo mbalimbali  yanayofundishwa  kwa ajili ya vijana...

UTAFANYAJE WAKATI MAISHA YANAPOKUWA MAGUMU

Kuruhusu mwenyewe kujisikia vibaya Kataa kuwa muathirika wa  hayo maisha magumu Jiaminishe na uwe mkweli mwenyewe Usijilinganishe na mtu  yeyote yule Kumbuka kuwa vitu vikubwa huchukua muda kuja Jifanyie wema mwenyewe Sahau  ya kuwa watu watakufikiriaje Fanya mazoezi Kumbuka...

NANI HUBEBA MZIGO MZITO? JE NI MUME AU MKE?

MKE ALIKUWA AKICHOKA SANA KILA IKIFIKA JIONI : BASI MUME AKAAMUA KUMFUATILIA SIKU MOJA NA KUJUA KULIKONI MWENZANGU? Nani hubeba mzigo mzito? swali hili ni zito sana, unaweza kwa haraka haraka ukafikiri ni rahisi lakini  ni...

Siri 7 Kuhusu Hisia Ambazo Zitalazimisha Nguvu Ya Akili Yako

Ingawa hisia huwa zinashawishi  jinsi ya kupokea matukio na jinsi ya kufanya maamuzi,  watu wengi huchukua muda kidogo sana kuongelea kuhusu  hisia zao. Kuepuka mambo yasiofaa yenye kuleta  wasiwasi, kama ''najihisi huzuni'' watu wengi hupenda...

Mawazo 6 Yenye Kuleta Maoni. Lakini Ni Mawazo yangu:

1.Unayo Maoni. Ukweli ni kwamba , ukiwa na maoni yako ni vizuri , lakini usitegemee kuwa mawazo yako ndio yako peke yako. unaweza ukaweka maoni yako ndani ya kikundi, na yakawa ni mazuri, lakini mwenye...

KAZI YANGU NI KUWAPENDA WATU SIO KUWABADILISHA:

Napenda mabadiliko,napenda kusaidia watu, pia napenda watu wabadilike, wampende Mungu. Lakini ni uamuzi wa Mungu kunitumia mimi kwa kiwango atakacho  kwa ajili ya watu  wake. mimi siwezi kumbadili mtu  Hii ni kazi  ya Mungu...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article