KITU GANI KINALETA UFANISI KWENYE MAWASILIANO?

Kila mara  tunahitaji  mawasiliano yenye kueleweka, mawasiliano yenye maana ,kwanza inkubidi ufikirie vipengele viwili muhimu;  Watazamaji na Lengo. Unahitaji kuelewa  hitaji la mawasiliano yako. Sababu ni kwamba  watazamaji huhitaji  kuona vitu tofauti ili kuwapata...

KUFANYA KITU USICHOKIPENDA( LAKINI UNAFANYA HATA HIVYO)

Unahisi kama kazi zako zimepotea bure?  Umekuwa kama uko nyuma na wengine, na unaona kama huwezi kumaliza kazi ulizonazo, Unahisi kuelemewa  na kuchanganyikiwa?  Wengi tumekuwepo katika hali hio na tumepoteza  na kuanza upya, kwa...

Maswali 10 Ya Kukusaidia Kufahamu Kusudi Lako

Wote tunao uzoefu wa kufanya mambo ambayo hayatufikishi kwenye malengo yetu,  tunakwama kila mara mahali fulani. Binafsi ,  nafahamu jinsi ilivyo rahisi  kuchanganyikiwa na kwenda katika mwelekeo mwingine.  Kwa hio nilipopata msukumo wa nguvu  nilikumbuka...

KWA NJIA ZIPI NILIACHA KUJARIBU KUDHIBITI KILA KITU KATIKA MAISHA YANGU.

Nilipokuwa mdogo, niliona kituko fulani vitu vidogo kwenda vibaya. Sijui ni kwa nini  nilikuwa na mawazo haya., lakini nilikuwa na wasiwasi mkubwa mno muda wote .Nilipatwa na ugonjwa mbaya wa kukosa usingizi kila siku....

Soma Hii Unapokuwa Unahisi Kusikitika Na Hujui Kwa Nini

Hii ni kwa ajili yako unapokuwa unahisi kukata tamaa ; Siku ambazo unatafuta pa kuficha kichwa chako na kisionekane tena. hii ni kwa ajili yako  wakati mashaka yanapofunga  mwanga usionekane, wakati unapoona Dunia imekutupa. Hii...

SIRI YA FURAHA YA KWELI SIO KAMA UNAVYOFIKIRIA

Umewahi kuhisi kama uaminifu ulionao unakugharimu? Wengi wetu  tunathamini  uaminifu kama moja ya  nguvu ya  juu  ambayo  hatujui  kuwa tunaruhusu  hali hio kuchukua nafasi The Dowside ya Uaminifu Kuwa mwaminifu ni vizuri, lakini    unaweza kujikuta unafanya...

UTAELEZEA NINI BAADA YA KUFIKIA UMRI WA MIAKA 25.

Kufikia umri  wa 25 ni muhimu . ni  wakati wa kuelewa  na kuanza kutambua utu uzima baada ya kutoka kipindi cha twenties,  utaanza kupata  maoni ya  kufahamu kuwa wewe ni nani  na ni mtu...

To Do List 2018. Gods 24hrs Economy

Uchumi wako una masaa mangapi?  Wewe ni mtu unayeandika kitu unapofundishwa? unasoma vitabu ? Unafikiri kwa muda gani? Unatafuta taarifa za kutosha? Unatafuta wazo ndani yako?  Kitu gani unaweza kuonyesha ambacho tayari umekifanya kipindi chote...

NJIA 10 ZA KUBADILI VIKWAZO VYA MAENDELEO

ISHI MAISHA YAKO.   Nilikutana na msichana mmoja ambaye alikuwa akifanya biashara ya nguo, akiwa amekata tamaa kabisa ya maisha baada ya kupoteza pesa zako   wakati huohupo biashara ikiwa inaendelea.Na hii imewatokea watu wengi na...

NATAMANI KAMA NINGEPATA USHAURI NIKIWA KIJANA:

Neno lolote la mwisho? Mkufunzi aliuliza swali tukiwa ndani ya chumba cha mafunzo,. Neno lolote la  mwisho la hekima? mimi kimya, nilikuwa nimeganda tu kama sipo . Nimekuwa nikihudhuria mafunzo mbalimbali  yanayofundishwa  kwa ajili ya vijana...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article