Posts in category

kazi & maisha


Mlango mkubwa wa kufaa sana umefunguliwa , Lakini kuna wanaokupinga ni wengi  sana.  Yesu anasema , Basi enendeni  mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi .

0 152

  Maandalizi ni ujuzi wa Imani na kuweka Imani kwenye matendo unapoifuata picha ya mwisho unayoielekea. Waebrania 11:1 “basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarayajiwayo ni bayana ya …

0 85

Ukiona mtu amekuzidi kwa kitu chochote, tambua kuwa kuna kitiu amekiona ambacho wewe hukioni.

1 102

Maana aonavyo nafsini mwake ndivyo alivyo. Asilimia 95 ya maisha ya mtu ni tabia yake. Asilimia 5 tu ndio ya ujuzi na maarifa. Mtazamo wa mtu unajengwa na mkusanyiko wa …

0 74

Huenda unajisikia umepotea, na unaona marafiki wako bize hawakukumbuki. Huenda unahisi hakuna kitu kizuri mbele yako. Unatamani muda uishe haraka uende kulala tena . Huenda unahisi kitu kilichotokea kwako kama …

0 62

Kujijali.  Kujijali ni sehemu moja kubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu , hasa kwa yule ambaye yuko bize na kazi nyingi za kila siku.

0 68

Mbinu Itakayokusaidia kutambua na kubadili mawazo  mabaya yanayokuja kwako mara kwa mara .

0 61

  Jifunze Sheria Za Muda.zipo sheria nyingi lakini leo nakuletea baadhi tu kati ya sheria hizo. Ukithamini muda utayathamini maisha yako. Huwezi kumpendeza Mungu kama unatumia Muda Vibaya. Dhambi nyingi …

0 84

  Wachunguzi wamegundua kitu kinachowafanya watu  wabaya kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko watu wale ambao ni watiifu.

0 97

Najua uko busy. Wote tuko hivyo. Kuna bills za kulipia mahali kwingi, Kutazama watoto, Kuwapigia watu wa mauzo, kufanya order mbalimbali, kujibu emails, kutatua matatizo.

0 44