Posts in category

kazi & maisha


1.Watu wengi huacha kusoma vitabu mara tu wanapomaliza shule, Usiwe mmoja wa wale. Kazi yako kubwa siku hizi ni kusoma, japo utaanza kushangaa kusikia hivyo.  Nasoma kazini,nasoma sehemu nyingine mbali …

0 49

Umejikuta tu uko bussy siku nzima  katika mipangilio yako ya kazi?  Umekuwa ukivuta muda  mara nyingi?

1 45

Uchumi wako una masaa mangapi?  Wewe ni mtu unayeandika kitu unapofundishwa? unasoma vitabu ? Unafikiri kwa muda gani? Unatafuta taarifa za kutosha? Unatafuta wazo ndani yako? 

0 34

Wakati wowote ninaposikia  mtu anasema fikiria nje ya box”, huwa nashangaa kwa nini  kuna box  kwanza. Binafsi, huwa sifikirii ndani ya  box. Sifikirii nje ya box. Hata sijui  box liko …

0 51

Wakati ambapo bosi wako ni changamoto. Utawezaje kuboresha kazi zako na  hali yako ya akili.

0 56

Najifunza kidogo kidogo jinsi ya kutojihurumia Kila wakati ninapokuwa nimefanya makosa, au  kujikataa, au kujiona kupotea. Najifunza kidogo kidogo kutembea katika maisha ambayo  hayana masikitiko wala maumivu, na maumivu ya …

0 47

Maisha ya mwanadamu yana fomula. Yana kanuni , Yana vielelezo,  Yana sheria na masharti mbalimbali. Kuna kanuni za kivutio, kanuni za kupanda na kuvuna.Na nyingine nyingi .

0 35

Wote tunao uzoefu wa kufanya mambo ambayo hayatufikishi kwenye malengo yetu,  tunakwama kila mara mahali fulani.

0 63

Unaweza usione , lakini una siku nzuri . Kabla  hatujashindwana , ngoja nikuambie kwa nini. Umeamka leo kutoka kitandani mwako , kwenye chumba chako, nyumba yako.Umeamka. umesafisha mdomo wako, umeoga. …

0 43

1.Wakati mwingine ni sawa kuishi katika mazingira ambayo huyafurahii. kama utajiuliza ,  hii kweli itakuwa ndio hali ya maisha yangu yote? Badilisha hayo mazingira. Wewe ni mtu pekee wa kubadilika …

0 43