Posts in category

kazi & maisha


1.Jisamehe mwenyewe. Jisamehe mwenyewe katika mambo yote unayofanya kila siku ambayo sio sahihi  kwako. Kwa ajili ya marafiki uliowatendea vibaya.Kwa ajili ya kazi ambayo hukukamilisha vizuri.  Kwa ajili ya kutowafanyia …

1 51

Hii ni kwa ajili yako unapokuwa unahisi kukata tamaa ; Siku ambazo unatafuta pa kuficha kichwa chako na kisionekane tena. hii ni kwa ajili yako  wakati mashaka yanapofunga  mwanga usionekane, …

0 45

Mitandao inakuambia jinsi gani unatakiwa kuishi na jinsi gani hutakiwi kuishi. yapo makosa  unaweza kufanya , kama hutaelewa vizuri. Mengine yanaweza kukuongoza na mengine kukupoteza

0 34

Ingawa hisia huwa zinashawishi  jinsi ya kupokea matukio na jinsi ya kufanya maamuzi,  watu wengi huchukua muda kidogo sana kuongelea kuhusu  hisia zao.

0 54

Una ndoto ya mambo yako yalio sahihi. Unaimba bafuni, unaandika mambo yako kwenye diary, una panga mambo ya familia yako, una vipaji vya hapa na pale na unavitumia kila mahali. …

0 53

Kusikiliza. Kama unasikiliza aina zote za machukizo yasio na sababu , hio sio njia sahihi ya kusikiliza; ni njia ya kweli ya kutosikiliza.

0 44

Matatizo yanatokea kwa sababu haturuhusu mabadiliko yatokee. Tunayakataa, tunataka vitu hivyo hivyo. Kama unampenda mwanamke , unamtaka pia kesho,  vile vile kama ambavyo uko nae leo.  Ndio maana matatizo yanatokea, …

0 48

Unahisi kama kazi zako zimepotea bure?  Umekuwa kama uko nyuma na wengine, na unaona kama huwezi kumaliza kazi ulizonazo, Unahisi kuelemewa  na kuchanganyikiwa?  Wengi tumekuwepo katika hali hio na tumepoteza …

0 44

Mambo ya mahusiano huwa hayaeleweki,  ni sehemu ya maisha yetu . na  haya ni maisha ya mwanadamu ,  kuna umuhimu kwenye uhai wetu,   yanaweza  kutufanya tujisikie vibaya  kuhusu jinsi tulivyo …

0 35

Mtu mwenye ujasiri anaonekanaje? Mtu fulani anayefanya vitu vyote vizuri,  anapokuwa anajiamini, na  kuwa na kiburi cha mafanikio? Au mtu fulani  ambaye  anafanya vitu vya kijinga   mara kwa mara mbele …

0 35