KITU GANI KINALETA UFANISI KWENYE MAWASILIANO?

Kila mara  tunahitaji  mawasiliano yenye kueleweka, mawasiliano yenye maana ,kwanza inkubidi ufikirie vipengele viwili muhimu;  Watazamaji na Lengo. Unahitaji kuelewa  hitaji la mawasiliano yako. Sababu ni kwamba  watazamaji huhitaji  kuona vitu tofauti ili kuwapata...

UTAFANYAJE WAKATI MAISHA YANAPOKUWA MAGUMU

Kuruhusu mwenyewe kujisikia vibaya Kataa kuwa muathirika wa  hayo maisha magumu Jiaminishe na uwe mkweli mwenyewe Usijilinganishe na mtu  yeyote yule Kumbuka kuwa vitu vikubwa huchukua muda kuja Jifanyie wema mwenyewe Sahau  ya kuwa watu watakufikiriaje Fanya mazoezi Kumbuka...

UTAELEZEA NINI BAADA YA KUFIKIA UMRI WA MIAKA 25.

Kufikia umri  wa 25 ni muhimu . ni  wakati wa kuelewa  na kuanza kutambua utu uzima baada ya kutoka kipindi cha twenties,  utaanza kupata  maoni ya  kufahamu kuwa wewe ni nani  na ni mtu...

KAMA KITU KINAKUFANYA UJISIKIE VIZURI , HAIJALISHI WATU WANAKUFIKIRIA NINI:

Wiki iliopita nilikuwa naongea na watu kuhusu wazo la biashara  yangu, mazungumzo  kati yao yote yalikuwa thabiti kabisa, wote walipenda  kitu nilichokianzisha. Na wote walipenda vitu  nilivyovianza vilivyokuwa tayari wazi mbele yao. Na pia...

NI AINA GANI YA UTU ULIONAO? TABIA NA HISIA ZA KIPEKEE NI ZIPI?

Iwapo unavutiwa na  mawazo ya kipekee ya aina ya  utu wa mtu  au pengine unaziamini kuwa hizo tabia  sio za msingi , ni mara nyingi  ni hisia za  kuona  kuwa ni aina gani pengine...

MABADILIKO 7 UNAWEZA KUJIFUNZA UJUZI MWINGINE KATIKA MAISHA HATA KAMA UMEFILISIKA:

  Ujuzi ni lango katika kila sifa nzuri ya elimu na  maisha. Kuna tatizo, pesa imekuwa ngumu kwa wengi wetu katika kulipia madeni , kodi za nyumba, kuhudumia gari mafuta na mahali pa kuweka gari, malipo...

KUFIKIA MALENGO YAKO, ANZA NA KUWEKA MIPANGO MIBAYA ZAIDI.

Kufikia malengo yako, unahitaji kuamua kuwa  na positive attitude, na hasa imani ya kwamba utashinda na kupata mafanikio unayoyataka. Hata kama  kuna umuhimu mwingine wa kuandaa barabara ya kupitia, hata kama kutakuwa na vipingamizi...

Mawazo 6 Yenye Kuleta Maoni. Lakini Ni Mawazo yangu:

1.Unayo Maoni. Ukweli ni kwamba , ukiwa na maoni yako ni vizuri , lakini usitegemee kuwa mawazo yako ndio yako peke yako. unaweza ukaweka maoni yako ndani ya kikundi, na yakawa ni mazuri, lakini mwenye...

Utafanyaje? Inapofika wakati Ukakata Tamaa Mwenyewe:

Kwenye ubunifu hakuna adui wa kuweza kukukatisha tamaa ya uzoefu wowote ulionao, haijalishi uko katika level gani. ya juu sana , kawaida au ya kati. Wakati ukiwa kwenye kazi yako au biashara yako , au...

NANI HUBEBA MZIGO MZITO? JE NI MUME AU MKE?

MKE ALIKUWA AKICHOKA SANA KILA IKIFIKA JIONI : BASI MUME AKAAMUA KUMFUATILIA SIKU MOJA NA KUJUA KULIKONI MWENZANGU? Nani hubeba mzigo mzito? swali hili ni zito sana, unaweza kwa haraka haraka ukafikiri ni rahisi lakini  ni...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article