Category LIFE 98 articles to read

Mbinu 5 Zinazo ondoa Aibu na Wasiwasi Wa Muda Mrefu

  Tupa mizigo yako kwa kutumia mbinu hizi. Inaonekana kwamba watu hawaamini kuwa kuna uwezo wa kuondoa  mizigo ya hisia mbaya kwa upesi zaidi. ingawa mazingira yanaonyesha  lazima kuwe na badiliko lingine kwanza.

Nunua Kweli Usiuze,Baki Nayo Ikulinde

Nunua Hekima, mafundisho na  Ufahamu. Ukiona mtu mzima anateseka leo , tambua kuwa ni akili yake inamtesa kwa sababu aliuza kweli yake.  Akili ikiteseka mwili utaumia.

Unawakumbuka Lakini Huwataki

Hii ipo kweli, Unaweza kutumia muda wa kutosha kumkumbuka mtu. unatumia  muda mwingi kazini ukiwa unafikiria mikono yao, macho yao, lips zao na sura zao.

Maisha Hayakutokea Tu Kwetu.Mipenyo Inahitaji Nguvu Mpya

Unaweza kubadilika bila ya kukua, lakini huwezi kukua  bila kubadilika. Kamwe hutaweza kupita katika mto huo huo mara mbili na ukapita kwa usahihi, utahitaji umakini mkubwa.

Mwaka 2018, Nasamehe,Naachilia Yasio Na Maana Kwangu

Katika mwaka huu mpya, Naachilia kila kitu ambacho siwezi kukidhibiti. Nafunga macho yangu na kuomba kuondoa kila kisichokuwa cha changu kwa kuelewa  au kwa kutokuelewa. Namwamini Mungu kuniongoza na kuniwezesha kuyafanya haya.Naachana na Woga na wasiwasi na kuruhusu chochote kinachokuja kwangu . Nitajitahidi kuishi kwa uhalisia wangu , katika kweli ,na kuona kitu kipya  maishani mwangu.

Tuko Hivi Kutokana Na Tunachokiongea

Ukitaka kujua ubora wa maisha yako , Chunguza  maongezi yako. Kama mawazo yanaweza kubadilisha lugha, Lugha inaweza kubadilisha mawazo.

Acha Mambo 18 Ya Kuomba Omba Radhi Katika Mwaka 2018

Mambo ya kudharau hisia zako, mwonekano wako, wakati wa kwako mwenyewe, kuuliza maswali, Kutojibu meseji au kupiga simu, na kushindwa kubadilisha mazingira . kujiona hustahili, kujiona umekataliwa,  hukubaliki, hupendwi, huheshimiwi. 1.Ukweli ambao moja au wengi wa marafiki zako wamefanikiwa kuliko wewe.