MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:

Mawasiliano hujenga mahusiano mazuri, bila hivyo kutakuwa na tofauti fulani kati ya wawili wapendanao .watu wengi wanaamini kuwasiliana kunajenga uhusiano mzuri,  hebu fikiria kama una rafiki yako  mnaopendana  hakutafuti  hata kama umekuwa mbali kwa...

JIFUNZE MANENO BORA 150 YA UAMINIFU KATIKA MAISHA:

  Uaminifu ni jambo la msingi na ni chombo  pekee kinachofaa ndani ya mahusiano mbalimbali, kama  ya biashara, mke na mume, mtu na mchumba,  marafiki na familia.uaminifu ni uwezo unaoleta imani kwa mtu, na ni...

MISEMO 7 YENYE KUJAA HEKIMA

1. Nafikiri ni vyema kujisikia vizuri kuliko kuonekana vizuri. 2.Unaweza kuishi kwa muda mrefu utakao na sio kwa muda mrefu unaoishi. 3.Kama una furaha, kama kuna kitu kinachokufanya ucheke,kisha kila siku itakuwa sawa. 4.Kama haikuwa vigumu, kila...

Alikaa Miaka 2 Bila Ya Kukutana Kimwili Na Mwanaume,Maisha Yake Yakabadilika:

Nimekaa chumbani  nafikiria maisha yangu, nikasikia huzuni nyingi moyoni mwangu,  nami ni Single, lakini  nawaza kwa nini sijakutana na mtu ambae nampenda naye ananipenda. Hapohapo nikakumbuka kuwa  ninachohitaji sio hicho, bali ninahitaji kujifahamu mimi...

NJIA 5 ZA KUFANYA KUPATA UTULIVU:

    Mara nyingi  watu wamekuwa wakipenda makelele kana kwamba ndio sehemu ya kupata utulivu au starehe na mapumziko mbalimbali katika mikusanyiko  baada ya shughuli nyingi na za ngumu , na mihangaiko ya hapa na pale...

KUKAA SINGLE MUDA MREFU NDIO SIRI YA KUPATA SOUL MATE WAKO.

Tuangalie kwa nini, Mahusiani yana ladha tofauti tofauti,  kila mahusiano yana ladha yake. Kwamba unaweza kuwa na furaha kwenye ndoa  wakati hukuwa na hio furaha ulipokuwa peke yako . Haiongezi kitu, na wala hayafanyi  hivyo. Badala...

NDOTO YA MAISHA YAKO HAITAONEKANA KAMWE KAMA HUTAFANYA MAMBO HAYA SABA.

Kwa muda mrefu ,nilikuwa nikiishi maisha yajayo- yale ambayo hayakuwa na ahadi kwangu. Nilikuwa nikifikiri nina muda mrefu kwamba naweza kusukuma  ndoto yangu na hamu yangu  mpaka hapo nitakapokuwa na hela,  au nikiwa vizuri,...

Kwa nini watu hutafuta nyota ya maisha yao

Kila mtu ana nyota yake aliyozaliwa nayo, lakini watu wengi wamepoteza nyota zao , kwa hio inawalazimu kutafuta nyota kama vile hawakuwa nazo.  kwa maneno mengine nyota ni   Baraka . kila mtoto anapokuja...

MAMBO 9 AMBAYO UNATAKIWA KUYAACHA BAADA YA KUMALIZA CHUO.

Maisha yako baada ya chuo yataenda kuwa tofauti  na katika kubadilisha  inaweza kuwa ni ngumu  kwa wale ambao huendelea na tabia kama za kichuo chuo.  Kuna mambo kadhaa ambayo unatakiwa kutumia  baada ya kumaliza...

MAPENZI YENYE MVUTO WA KWELI.

Mke akamrukia mume wake na kumbusu , baada ya kusikia watu wakimbeza .   Mume wangu  ana umri wa miaka 27, aliumia wakati yuko lindoni, na alipata maumivu makali kwenye uti wa mgongo, maumivu ya mguu...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article