JE WAJUA HATUA ZA KUPATA ,NJIA 5 ZA KUANGALIA
PIGA HATUA UPATE:
Sio wote wanaopiga hatua hupata mafanikio, wale wanaopata ni wale ambao wanafuata utaratibu mzuri wa maisha ,fanyia kazi furaha ya kudumu, kwa sababu furaha ya ya duniani ni ya muda mfupi ,...
ENDELEZA LADHA YA MAISHA NDANI YA 2017
Kuna mabadiliko mengi sana yanaendelea, lakini bado tunaweza kuwa na maisha yenye ukamilifu.
Watu wote tunastahili kuishi maisha yenye furaha na yenye ukamilifu lakini mara nyingi tunaruhusu mawazo mabaya , watu, au hali mbaya kutuharibia...
Umuhimu wa hisia za mwanadamu
Kuwa wa kiroho , mara nyingi watu wamekuwa wakisema kuwa mtu kuwa wa kiroho ni lazima awe ameumizwa , amevunjika moyo, amekwama kimaisha , yaani amekata tamaa kabisa ya maisha. Na maana hasa ya...
MANENO HAYA NI MUHIMU KILA MWANAMKE AYAFAHAMU
1.Kamwe usiombe msamaha kwa kitu ambacho umekuwa na hisia . acha iwe ni dalili kwamba una moyo na hauogopi watu wengine wakiona . kuonyesha hisia zako ni moja ya ujasiri.
2. Ni aina ya mtu...
JINSI YA KUFANYA MAAMUZI YA MUHIMU KATIKA MAISHA
Vyote akili yako na moyo wako vinaweza kuchagua njia bora.
Hujawahi kujikuta unakabiliana na ukubwa, maamuzi ya kubadilisha maisha, mahali ambapo huwezi kupata jibu kamili?
Huenda unafikiria kuhusu kuacha kazi, kuondoka kwenye mahusiano au kubaki ,...
NYONGEZA 5 ZA HISIA ZA PAPO HAPO ZA KUJARIBU WAKATI HUU
Kila mtu kwa wakati wake hujikuta kwenye hali mbaya, kukosa nguvu na kukosa ujasiri.hapa kuna wazo la haraka la kurudisha hisia zako unapojisikia uko chini.
Tengeneza kitu kilichoharibika
Wengi wetu tuna vitu vya kurekebisha majumbani au...
NI MARA NGAPI, NA NI WAKATI GANI MZURI WA KUSEMA’’ ASANTE.’’
Kuna wakati niligundua kuwa sisemi asante kwa kila kitu , asante haikuwa inatoka kwangu katika maisha yangu. Niliposafiri kwenda mahali nikajifunza kutoka kwa watu wa huko nilikokwenda
Niligundua kuwa karibu kila sehemu niliopita watu...
Mambo 10 Mazuri Ambayo Yatatokea Mara Tu Utakapoacha Kuwaza Kuhusu Watu Watanionaje
Hutaweza kufanya kitu chochote, hutaweza kuwa na mahusiano mazuri, hutaweza kufanya maamuzi mazuri, hutaweza kuchagua unachokitaka kama utakuwa mtu wa kufikiria watu wengine watasema nini juu yako, watafikiria nini juu yako , watakuonaje.
Lakini kama...
NJIA NZURI 10 ZA KUKUSAIDIA WAKATI UNAPOJISIKIA MPWEKE
Ingawa mara nyingi watu huandika kuhusu kuwa makini na magonjwa sugu, kila moja, hali ya hewa ya afya au vingine, hapa nimekuleta kuhusu maumivu ya upweke.
Natumaini makala hii itakuwa msaada kwa kila mtu.
1.Usijilaumu kwa...
NJIA 5 ZA KUFANYA MAISHA YAKO YAWE BORA MWAKA MPYA
Fanya iwe ni mwaka bora kuliko .
Mwaka mpya umekaribia , na maana yake ni kuanza ukiwa fresh. Na huu ndio muda mzuri wa kujipanga sawa sawa ni watu tunaendelea katika maisha yetu, ni wapi...