HATUA 4 ZA KUJUA UPOFU MAMBOLEO

Hakuna kitu kibaya kama kukataliwa na jamii, kuna watu hukataliwa na ndugu zao eti kwa sababu tu ya upofu walionao. nasemea upofu ambao ni upofu kweli sio wa mamboleo, lakini ukumbuke huyo kipofu ukimpeleka...

NJIA 5 ZA KUFANYA KUPATA UTULIVU:

    Mara nyingi  watu wamekuwa wakipenda makelele kana kwamba ndio sehemu ya kupata utulivu au starehe na mapumziko mbalimbali katika mikusanyiko  baada ya shughuli nyingi na za ngumu , na mihangaiko ya hapa na pale...

HUNA SABABU YA KUMPENDA KILA MTU . LAKINI JE UNAWEZAJE KUWA MTU BORA

Kuna kitu kimoja tu, na ni kumoja tu, kumuona Mungu kwa kila jambo  na kila wakati,  na katika kila sehemu.kwa  kusema usiwe na hasira , uwe mkweli , acha ugomvi  , usiibe usidhulumu watu...

Umuhimu wa hisia za mwanadamu

  Kuwa wa kiroho , mara nyingi watu wamekuwa  wakisema kuwa mtu kuwa wa kiroho ni lazima awe ameumizwa , amevunjika moyo, amekwama kimaisha , yaani amekata tamaa kabisa ya maisha.  Na maana hasa ya...

Kwa nini watu hutafuta nyota ya maisha yao

Kila mtu ana nyota yake aliyozaliwa nayo, lakini watu wengi wamepoteza nyota zao , kwa hio inawalazimu kutafuta nyota kama vile hawakuwa nazo.  kwa maneno mengine nyota ni   Baraka . kila mtoto anapokuja...

Utaondoaje woga wa kukosa mtoko

Mara nyingi umekuwa ukienda  kuona  wengine  wanaofanya mambo makubwa  katika maisha yao , hasa  wanamuziki mbalimbali  na hata waimbaji  maarufu  wanapokuwa katika maonyesho yao, pengine hata wafanyabiashara wakubwa  wanapofanya mambo yao binafsi hupendi kukosa...

je unahitaji maisha yenye thamani ?.

je wewe ni halisi?:Ni kwa nini tunakuwa na kiburu, kwanini tunasema uongo,kwa nini tunamwaga damu za watu wasio na hatia, kwa nini tunawaza mabaya ,kwa nini tunakimbilia maovu  na, kwa nini tunashuhudia uongo na...

FURAHA ILIYO KAMILIKA

Furaha ni nini;;,  ni hali inayokuja kwako ndani yako mwenyewe katika ufahamu wako na mawazo yako na sio kiasi cha fedha ulichonacho ila ni  pale unapojua maana ya maisha, na neno hili furaha lisingekuwepo...

WAKATI WA KUJENGA MSINGI WA MAISHA NI SASA

Hatukupewa maisha mazuri au mabaya ,ila  tumepewa MAISHA . ni sisi wenyewe tunaweza kuyafanya maisha      yawe   mabaya au mazuri, kwa hio ni jukumu letu kuyatengeneza ili yawe mazuri. VITU VYA KUACHA  UNAPOTAKA...

Most viewed posts

VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:

SOUL MATES. Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza  kutumia maneno matamu.Na lazima ujue...

Random article