Posts in category

LIFE


Mambo ya kudharau hisia zako, mwonekano wako, wakati wa kwako mwenyewe, kuuliza maswali, Kutojibu meseji au kupiga simu, na kushindwa kubadilisha mazingira . kujiona hustahili, kujiona umekataliwa,  hukubaliki, hupendwi, huheshimiwi. …

0 34

Utawezaje kujisamehe mwenyewe aina ya msamaha ambao  hauwezekani? Umefanya kosa fulani au umemuumiza mtu  mwingine au mwenyewe,  Na sasa unajisikia hasira, unajilaumu, unajiona una hatia, una huzuni, au unajisikia aibu.

0 51

Nilimpoteza Mungu nilipokuwa  nimeacha kumtafuta. Wengi watasema Mungu anapatikana kanisani, mahali popote, milimani, na Kwa kila mtu.Lakini hilo sio jibu sahihi.

0 35

Tuanze siku yetu, wiki yetu kwa kufahamu  akili iliyopevuka ni akili ipi. Akili iliyopevuka inaona  fursa  katika kila hali, iwe kuna tatizi au hakuna tatizo. iwe kuna furaha au huzuni. …

0 53

Ungeweza kuwa mtu mkubwa sana katika kampuni yako, umevunja record, ungekuwa na uzito mzuri, ungekuwa mwandishi bora wa vitabu na kuuza sana. Ungeweza kuoa mtu unayempenda,Ungekuwa na  shahada nzuri. Kuwa …

0 49

Hii sio moja ya list ambazo nimekuwa nikikuandikia  usome zaidi na zaidi, nimekuwa mkweli kwako,  nilipenda kuwa mkubwa kwa hio nikawahi mambo ya kikubwa  na kupata uzoefu mwingi ambao ilitakiwa …

2 56

Tulia Moyo wangu kwa Mungu, mpaka kuwepo utulivu Utulivu. Ni kitu fulani tunachokitaka lakini tunajikuta  tunahangaika .tulipokuwa watoto hatukujua kuwa kuna umuhimu wa kutulia.

0 56

Tunaweza kuwa tunasahau kusudi letu halisi. Huenda wakati mwingine tumezidiwa na mambo yanayotokea kati yetu, tuko bize na kazi tunazofikiri kuwa sio kwa ajili yetu, au  tunahangaika zaidi na mambo …

0 34

1.Shahada ya Chuo Sio sawa na Mafanikio 2.Kung’ang’ana na marafiki ambao ni sumu  watakusababishia  madhara makubwa mbeleni.

0 48

Hakuna mtu anayependa kuteseka . Kwa kanuni za kawaida , watu wanapenda kuepuka kuumizwa na kuumia haraka iwezekanavyo . kama ilivyo, watu wanataka maumivu yasiwepo  kabisa na wala kuonekana katika …

0 46